Habarin wana jamvin. jamani naomba msaada wa ushauri ila mwenye matusi yake plse asicomment kitu.
Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihis nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuh kabla ya kujiandaa kwenda kazin niangalie ndo nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani.
Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki. nilijaribu kuwa nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazini lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoezi mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza 😱.
Asanteni