Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Habarini wana jamvi,

Jamani naomba msaada wa ushauri,

Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihisi nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuhi kabla ya kujiandaa kwenda kazini niangalie ndo nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani.

Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki. Nilijaribu kuwa nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazini lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoezi mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza 😱.

Asanteni..
 
What next ukiangalia hizo movies? Kama hakuna unapenda tu kuangalia sidhani kama kuna shida..me pia napenda sana kuangalia Action movies na filamu/series za kijasusi siwezi lala bila kuangalia sometimes usingizi ukikata naangalia mpaka muda wa kwenda Job! Ha ha ha. Aaaa kila mtu na mapenzi ya movie zake banaa...ila tafuta mtu awe anakukung'uta asubuhi wakti unaenda job!
 
Zingatia pia comment #90 hapo juu, yaani kama wewe ni mpenzi sana wa kuingia mitandao ya kijamii hususani ile yenye kuhusisha porns, nudity etc kama instagram, facebook, badoo embu achana nazo mara moja.

Japo haitatosha kwa jinsi hili tatizo lilivokuwa sugu tayari kama ulivyokili mwenyewe.

Jini mahaba ndio majini mabaya kabisa yanayopelekea watu hadi kujizulu maisha kwa namna yoyote ile.

Wapo watu wengi mno wamo kwenye hili tatizo lakini hawasemi tu. Wengine ni wafanyakazi wakubwa tu wanalipwa vizuri nk, hivyo wana access ya vitu hivyo wakati wowote ule wakitaka.

Mfano; Mimi nampenda YESU KRISTU WA NAZERET, ndiye aliyenishindia mambo mengi yenye majaribu na mapito magumu lakini namshukuru Mungu yeye anitiaye nguvu.

Kadhalika wewe hata kama ni Muslim wala usijali maana Muslim is a also a TRUE RELIGION OF GOD, kwa hivyo yale yote wanayofundisha iwe mawaidha nk yanakemea sana kuona ama kuonesha utupu wa aina yoyote ile. Hakika afanyaye hayo hataionja mbingu.

Ndio maana hata wanasisitiza mavazi yanayoficha mwili vizuri kwa wanawake.

Usiogope watu watasema nini kwa uamuzi wako wa kukombolewa kiroho utakaochukua sasa maana ndio itakuwa mwisho wa matatizo yako.

Kwa kukusaidia tu please, nenda kaombewe na ukili kutoka moyoni mwako kwamba unaacha kuanzia sasa tabia hiyo chafu. Najua sio wewe, bali ni shetani huyo anakuchezea.

Kuwa mwaangalifu sana humu kwenye mitandao, kuna agents wa shetani wengi tu.

Royo ya Mungu itakukumbusha kila mara unapojaribu kufungua porn kwe mtandao lakini uamuzi na utashi ni wako wala hulazimishwi. Ni kama enzi za Adam na Hawa, ilikuwa hivihivi.

Madhara mengine unayoweza kupata kwa kuwa na jini mahaba ni kwamba hata upate mme handsome and well endowed (amejaliwa mambo fulani) vipi hutaridhika kamwe.

Na ndio chanzo cha ndoa au mahusiano mengi kuvunjika. Maana wewe ubongo wako utazidi kuwa na picha zile kwamba nataka mwanaume awe hivi na anifanyie hivi na vile kama kwe hizo porn za kishetani.

Mungu akusaidie dada jipe moyo utashinda tu nenda kuombewe please, there is the Mighty power in the Name Jesus.

Wengine najua wata comment oooh mara mbona unaleta mambo ya kidini mara sijui nini.

Haisaidii, bali ukweli ndio huo utakao kuweka huru dada. Hata ufunge ujinyime kula na kunywa, bila kukombolewa bado tabu inaweza kuwepo.

Jambo la kuzingatia usije enda sijui wakakwambia eti oooh sasa inabidi uendelee kusali kwetu ili isijirudie tena.

Na na na no...., wakatalie kabisaa.., hamnaga hiyo. Ninachojua mimi dhehebu haliwezi kumpeleka mtu yeyote mbinguni hivyo usidanganywe kwa matatizo yako.

Kinachompeleka mtu mbinguni ni mahusiano mazuri ya kiroho na Mungu aliyeumba vitu vyote.

Simple be careful...
 
Last edited:
Hiyo kitu ni hatari haifai,mm nimeoa lkn nilikuwa nikiangalia tu bac jogoo anaishiwa nguvu na hamu nikawa sina ya kukutana na mke wangu mpaka niache kuangalia mwezi mzima, nikaacha mpaka leo nina zaidi ya mwaka sitamani tena kuchabo x mtandaoni!Acha!
 
Habarini wana jamvi,

Jamani naomba msaada wa ushauri,

Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihisi nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuhi kabla ya kujiandaa kwenda kazini niangalie ndo nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani.

Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki. Nilijaribu kuwa nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazini lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoezi mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza 😱.

Asanteni..
Tafuta mwanaume uache ujinga! Kama ujaolewa basi tafuta mume utapitiliza..!
 
Mtazamo wangu,Fanya HV jitahid kuwa na Maombi ya mda mrefu yaan ile mda unaotumia kuangalia tumia KWA Maombi huku ukiikemea hyo tabia na hyo roho,na uhudhurie mkesha wa Maombi kanisan kwako,ukifanya hivyo utakuwa guru mda si mrefu
 
Nafsi ya mwanadamu inakuwa controlled na vitu viwili (1) Evil spirit (2) Holy spirit. Sasa we ndugu upo upande gani? Hakuna namna utajinasua na huo mtego kama sio muhudhuriaji mzuri wa ibada ambako utafundishwa kumwogopa Mungu.

Utajitahidi weeeee uache but hutaaacha nakwambia kwasababu kuna roho chafu nyuma yake!! Chagua kusuka au kunyoa.

Kutokuhudhuria ibada ni kujiendekeza, na kama unahudhuria basi ni ile kufata mkumbo huna lolote kwenye kichwa chako.

Pole yako
Hizi ni Ngonjera
 
Pole binti,naomba km hutojali ni PM nikuambie jambo muhimu.
 
Ni Brazzers kaka..
My favourite huwa
XXvideos
Pornhub
Anysex na ukipata kitu cha
Realitykings au
Dirtyamerica.. HD vids. Mtafute mdada Anaitwa Abella Anderson. Ni moto.

Hahahaha mkuu sure nimemix kidogo Brazzers

wew jamaa ni nomaa Abella namjua sana yule ni real crazy
Reality King niliwasahau kidogo wapo vizuri sanaaa

XXvideo nawafahamu pia ila siwakubali tuu
 
Kama unatumia simu (smartphone) iuze tumia ya kawaida kama ni CD's Vunja zote!
 
Hiyo hali unayoisikia sio wewe ni pepo na msaada upo kwa Yesu pekee dada yangu ..tafuta mchungaji au mtu aliyeokoka kwa dhati akemee hilo pepo na utapona. .Pole sana na amini tu utakuwa powa after maombi
 
Njia rahisi ni kuamua... ukiamua kuacha tokea moyoni unaacha na hautoangalia tena
 
Kama kweli msaada ndilo hitaji lako nitafute nakuhakikishia tatizo litakwisha.
 
ebu tangaza ndoa na uolewe hakka ttz hilo litaisha pia kwann una kaz hlf bd mpaka umri huo hutak ndoa?
 
Back
Top Bottom