Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Wanawake wanapenda balaa ila ajabu sku ujifanye unataka ku watch nae porn utamuona Kama vile anaona kinyaa....Binadam kiumbe wa ajabu sana na Ni Zaid ya mnyama wa porin hasa pale akiwa ndani peke yake


Umejuaje mkuu?
 
Swali la kujiuliza: hizi porn wanatengenezewa kina nani (jinsia)? Kwa ajili gani? Kama inawalipa wachezaji, wanaonunua wananufaika vp?

Huenda hayo madhara tunayoyaongelea kwa wanawake na wanaume ndo lengo hasa la porn kuwepo.
 
Kwa kweli kuna shetani kule anakuvuta ukiangalia moja utataka na ya pili..mimi nimejaribu kuacha kuangalia, saa nyingine naweza kukaa hata wiki mbili baadae narudi tu dhambini [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Next time I'll have to be "next to you" Becky...[emoji39]
 
Back
Top Bottom