Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Hebu tujadili wakuu maana kuna wazazi WA ajabu sana.hata kama chumba kimoja fanyieni hata mvunguni.
IMG_20241206_092729.jpg
 
Na mara nyingi hivi ndivyo mashoga na wasagaji hutengenezwa. Uwezekano wa huyo mwanaume kumlawiti huyo mtoto ni mkubwa sana.
Kuna athari kubwa ya kisaikolojia kwa mtoto mdogo kuona mambo makubwa kuliko rika lake.
 
KAMA HAMNA UWEZO WA KUPANGA NYUMBA, YAANI KAMA BADO MTU UNAISHI KWENYE KASTOO( CHUMBA KIMOJA) ACHANA NA MAMBO YA KUANZISHA FAMILIA.

JITAFUTE UKISHAJIPATA ANZISHA FAMILIA. MNAWAHARIBU HAWA WATOTO NA MNATENGENEZA WABAKAJI NA WABAKWAJI WA BAADAE!!!
 
Back
Top Bottom