Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

KAMA HAMNA UWEZO WA KUPANGA NYUMBA, YAANI KAMA BADO MTU UNAISHI KWENYE KASTOO( CHUMBA KIMOJA) ACHANA NA MAMBO YA KUANZISHA FAMILIA.

JITAFUTE UKISHAJIPATA ANZISHA FAMILIA. MNAWAHARIBU HAWA WATOTO NA MNATENGENEZA WABAKAJI NA WABAKWAJI WA BAADAE!!!
Pressure Iko juu kwenye mazingira tata.
 
ishushe pressure
Unajua kitu cha kuiba Huwa kina vibe flani hivi mpka unashangaa, very same individual ukmpa haki akamuoa huyo mwanamke utakuta anabadiri tabia na kulijua tatizo na kulifuta,nadhani Kuna haja ya kuwa na ATM za ngono.
 
zipo kila mji
 
zipo kila mji
Tatizo wanaojiuza wako low key,watoto waziri watamu wamejifungia majumbani Jamani mwanamke nzuri msafi na mwenye lugha nzuri ni mtamu kila kitu,unakuta Binti anaomba kwa kusema can I have a little kiss,haya hao fisi wa kuvaa nguo.moja atawezaje kufanya mambo mazuri wakati kuoga kwenyewe mgao.
 
wapo wa high class uwatakao kupitia mitandao kadhaa wa kadhaa au kwenye huo mji ulioko tafuta mtaa au barabara ambayo watu wengi hupita,utamuona demu mmoja anayekuvutia ndio umsarandie
 
Dah. Mungu awasaidie. Inasikitisha sana na ni unyama na unyanyasaji wa watoto wa hali ya juu.

Duniani kuna vitu vya ajabu sana kwa kweli.
 
Kuna single parents kila siku wanawatambulisha watu wao wapya kwa watoto, utawasikia "huyu ni baba yako mdogo.......huyu ni mama yako mdogo....." na anaingia nae ndani,anakamua/kukamuliwa baada ya hao dogo anaagwa na baba yake/mama yake mdogo mpya.
 
Back
Top Bottom