Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

Na mara nyingi hivi ndivyo mashoga na wasagaji hutengenezwa. Uwezekano wa huyo mwanaume kumlawiti huyo mtoto ni mkubwa sana.
Kuna athari kubwa ya kisaikolojia kwa mtoto mdogo kuona mambo makubwa kuliko rika lake.
 
KAMA HAMNA UWEZO WA KUPANGA NYUMBA, YAANI KAMA BADO MTU UNAISHI KWENYE KASTOO( CHUMBA KIMOJA) ACHANA NA MAMBO YA KUANZISHA FAMILIA.

JITAFUTE UKISHAJIPATA ANZISHA FAMILIA. MNAWAHARIBU HAWA WATOTO NA MNATENGENEZA WABAKAJI NA WABAKWAJI WA BAADAE!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…