Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
yaani we acha tu,na kama hawa wenzetu wangekuwa wanaogopa ngono kama wanavyoiogopa kitimoto dunia ingekuwa bila ngoma ingewezekanaHalafu vyenye matatizo vipo vingi sana.... Wanaogopa kula kitimoto wakati hawatumii kondomu wakati wa kugegedana... Kitimoto hoyeeeeeee.........
Mi naikulaje jombaa,, alafu natupiaje? Mkeo akijichanganya tu..ujue umeachwa
eUroho unakusumbua tu hakuna kingine!
Wanaziita dawa za KisunnaMkumbushe pia kuwa dawa nyingi za kuongeza nguvu za kiume zinauzwa misikitini sijui ni kwa sababu wanakula sana kitimoto!
Hapo mi naimani ndugu yangu umeteleza ulimi kidogo kusema biblia ime....... maneno!
Lkn ni kweli kabisa. Upande mmoja Yesu anawakataza viti moto. Pombe, uliberali Mungu hana mtoto n.k!
Upande wa pili kuna PAULO nawruhusu vyoote hivyo na ni mtu wa kwanza kumpa cheo cha uungu yesu! Na kusema Mungu ana watoto!
Ndio maana wafuasi wa Yesu walikuwa wanaitwa wayahudi na hawa wanaitwa WAKRISTO!
Wanapigwa nyundo kwanza kichwani halafu wanakata shingo kuanzia nyuma!
Nguruwe hana shingo km ya ng'ombe au mbuzi unamkata kuanzia kisogoni!
Sehemu ambayo mbuzi na ng'ombe wana koromeo shingoni basi ndipo mdomo wa nguruwe ulipo!
Mungu keshawaonyesha kuwa hafai mana hata shingo ya kuchinja tu hana, tofauti kabisa na wanyama wengine km ngomb, mbuzi, kuku n.k
nasikia wanamlima shoka la nguvu eti ndio kachinjwa
Mkumbushe pia kuwa dawa nyingi za kuongeza nguvu za kiume zinauzwa misikitini sijui ni kwa sababu wanakula sana kitimoto!
Nguruwe hafai kabisaa, nashukuru sisi wenye dini ya kweli tuna kemewa/kemea hata kufuga. Lakini kuna dini za kizushi ambazo vitabu vyao vina kemea lakini waumini wake Pamoja na viongozi sio kula tu mpaka kufuga tena kenyewe hujiona fahari sana kufanya hivyo.
Unanitamanisha na maneno yako..
dada, hao rafiki zako hawataki kupitwa na uhondo!
Dah aisee,ningefurahi kukuona,cheers
...asiyesikia la mkuu??????????
N
Mkuu ni Nguruwe yupi unayemuongelea wewe????
Je hi huyu:-
View attachment 114551
Au huyu???
View attachment 114552
Au huyu:-
View attachment 114559
MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!