Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Halafu vyenye matatizo vipo vingi sana.... Wanaogopa kula kitimoto wakati hawatumii kondomu wakati wa kugegedana... Kitimoto hoyeeeeeee.........
yaani we acha tu,na kama hawa wenzetu wangekuwa wanaogopa ngono kama wanavyoiogopa kitimoto dunia ingekuwa bila ngoma ingewezekana
 
Mi naikulaje jombaa,, alafu natupiaje? Mkeo akijichanganya tu..ujue umeachwa

Jombaa bila shaka utakuwa ni mchicha mwiba kula nikule na kama utaendelea basi huko mwisho wake utakuwa mwajuma.
 
Uroho unakusumbua tu hakuna kingine!
e
Haramu kwako si lazima iwe haramu kwa kila mtu...kumbuka hata mkeo(kama umeoa) ni haramu kwa kaka zake ila wee unaishi nae! Wengine mnashabikia tu ila huna sababu ya kula ama kutokula!
 
mie ngombe kwangu ndo simkubali wala kuku ila mdudu ndo kila kitu kwangu
 
Hahahaha!!!! Wadau kama kulinganana imani yako huwezi kula huu utamu, kwanini usambaze rumous za kimbeya kuwadanganya watumiaji???
 
Ukistaajabu ya Musa,utayaona ya Firauni
1.Kujitoa MHANGA si dhambi (ugaidi) na lakini kula MDUDU ni dhambi
2.Ni mara nyingi sana utasikia wadau hawa wakikemea matumizi ya MDUDU lakini kwenye kuvunja amri ya sita husikii kabisa
Hiyo siku ya kiama sijui itakuwaje,mungu na atujalie uwezo wa kutambua kipi cha kufanya na kipi cha kuacha
 
Kama kiimani kula Nguruwe ni dhambi basi wacha tu nizipate na pia nahisi dhambi ya kula Nguruwe ni tamu na nzuri kama ulivyo utamu wa nyama ya Nguruwe.


KIIMANI
kwa upande wa Quran

"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).

.........Katika kifungu hicho hapo juu ina maana mmekatazwa kula mizoga tu na damu na nyama ya nguruwe ila nyama ya watu mnatakiwa mle kama kawaida? Duuuh! nyie sio wanadamu wenzetu.

 
Hapo mi naimani ndugu yangu umeteleza ulimi kidogo kusema biblia ime....... maneno!
Lkn ni kweli kabisa. Upande mmoja Yesu anawakataza viti moto. Pombe, uliberali Mungu hana mtoto n.k!

Upande wa pili kuna PAULO nawruhusu vyoote hivyo na ni mtu wa kwanza kumpa cheo cha uungu yesu! Na kusema Mungu ana watoto!
Ndio maana wafuasi wa Yesu walikuwa wanaitwa wayahudi na hawa wanaitwa WAKRISTO!

Teh mkuu propaganda za kidini zimekujaa kichwani sana..

Aliyetamka kuwa mamlaka yote ya mbinguni na duniani nimepewa mimi ni nani??
Nendeni mkahubiri inijli kwa viumbe vyote mkibatiza kwa jina langu na la baba na la roho mtakatifu ni nani aliyesema haya?? Je ni paulo

Back to topic

Kitimoto kwenya mafuta yake kuna kemikali maalumu ya kupunguza busha, so nafikiri ni vizuri kuvishauri vile vibabu vinavyovaa msuli vipige tu kitimo halafu soon vitaanza kuvaa suruali

"Mbuzi mtakatifu for life"
 
Nitakula KITIMOTO mpaka baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaas.
 
Wanapigwa nyundo kwanza kichwani halafu wanakata shingo kuanzia nyuma!
Nguruwe hana shingo km ya ng'ombe au mbuzi unamkata kuanzia kisogoni!
Sehemu ambayo mbuzi na ng'ombe wana koromeo shingoni basi ndipo mdomo wa nguruwe ulipo!

Acha uongo,nguruwe anachinjwa kama Ng'ombe tu,kama uko dar fika pale machinjio ya Sinza opposite Rombo Green View uone wanavochinja!hakuna cha kuchinja from kisogon wala nin,anachinjwa kawaida kama achinjwavyo mbuzi!
 
Mungu keshawaonyesha kuwa hafai mana hata shingo ya kuchinja tu hana, tofauti kabisa na wanyama wengine km ngomb, mbuzi, kuku n.k

nasikia wanamlima shoka la nguvu eti ndio kachinjwa

Kumbe unasikia??basi ndo kosa lako,fika machinjio za kitimoto uone wanavochinja!usingoje kusikia!
 
Nguruwe hafai kabisaa, nashukuru sisi wenye dini ya kweli tuna kemewa/kemea hata kufuga. Lakini kuna dini za kizushi ambazo vitabu vyao vina kemea lakini waumini wake Pamoja na viongozi sio kula tu mpaka kufuga tena kenyewe hujiona fahari sana kufanya hivyo.

Kama umeona ni dini za kizushi mbona umesoma vitabu vyao na ukavikubali kuwa vinakataza?mie huwa nawashangaa sana watu ambao wanasoma mstari mmoja kwenye bible halafu wanaanza kuushabikia bila kujua kuna mistari mingine miiingi sana ambayo hawataikubali,bali hupenda kuikubali mistari ile inayoendana na matakwa yao,I tell you ni UTOTO kabisa huo!
 
...asiyesikia la mkuu??????????

Amechambua na kuchanganya na zake akaona kuwa huyo mkuu aliyomwambia yote chenga!!!so,hamna litakalompata.mwenzangu kulingana na imani yako umekatazwa mimi nakula kama dhambi si'zangu we zakuhusu nini?nikwamba mna huruma na upendo sana kwa nafsi za wenzenu mnazoamini kwamba zitapotea kwa kula nguruwe??hunishawishi,nguruwe ntakula,na nna Imani Mungu akipenda/akitaka Pepo nitaiona!pia Pepo sitaiona kwakuacha kula nguruwe,naamin Pepo nitaiona kwa matendo yangu mazuri ya kumpendeza Mungu hiyo sijui acheni kula nguruwe ni mbwembwe tu za jamii fulani walizojiekea ili wapate kuanzisha league ziso na kichwa wala miguu na jamii nyengine.
 
Na mkuu ulieanzisha uzi huu username yako(LIMAU) nadhan unajua maana yake,hicho ni moja ya "KIUNGO MUHIMU"sana tunapokuwa mezani tukimalizana na mfugo,nikupongoze unaonyesha hautunyanyapai si'tunaokula,hahahaha
 
Back
Top Bottom