Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Utafiti?
 
Last edited by a moderator:
e
Haramu kwako si lazima iwe haramu kwa kila mtu...kumbuka hata mkeo(kama umeoa) ni haramu kwa kaka zake ila wee unaishi nae! Wengine mnashabikia tu ila huna sababu ya kula ama kutokula!

Bado unaonesha ni jinsi gani ulivo na uchu na huyo mnyama! Umepewa sababu za kiimani na kiafya hutaki basi subiri majibu yake.
 
Ikiwa hivyo ndivyo basi kitabu chenu (Bible) kitakua kina tombesha maneno (kinaji kanganya) Maana kinaanza kukataza Nguruwe asiliwe, Kisha kina ruhusu kila mnyama naaliwe tu. Ndio maana Waislam tuna mashaka na hiyo dini yenu.

Kitabu hakikanganyi ni wanadamu ndio wanaojikanganya! Bible ikisema NO basi hiyo ni no kwanzia mwanzo mpaka mwisho! Ni wanadamu tu uelewa wetu na mapokeo yetu ndio yanayotuyumbisha!
 
Kahtaan: tusiache mada husika tukaenda kwenye mambo mengine! Ulishawahi kufatilia historia ya utume wa Paul na nyalaka alizoandika kwa Hao wote aliokua akiwahubiri kwa nyakati zile na kulikua na nini na sheria gani na watu wa mataifa gani? Tukishakujua hayo basi tutayajua mafundisho ya Paul vizuri! Niseme kitu kimoja bibilia haipingani ata kidogo!
 
Acheni kuwa mnadanganya watu. Wewe unataja vitu ambavyo mmezhiliwa kwa ukali sana.
 
'like'
 
[h=2]
Re: Athari ya nyama ya KITIMOTO kiimani na kiafya[/h]

By Kitoabu

Ikiwa hivyo ndivyo basi kitabu chenu (Bible) kitakua kina tombesha maneno (kinaji kanganya) Maana kinaanza kukataza Nguruwe asiliwe, Kisha kina ruhusu kila mnyama naaliwe tu. Ndio maana Waislam tuna mashaka na hiyo dini yenu.
Kitabu hakikanganyi ni wanadamu ndio wanaojikanganya! Bible ikisema NO basi hiyo ni no kwanzia mwanzo mpaka mwisho! Ni wanadamu tu uelewa wetu na mapokeo yetu ndio yanayotuyumbisha!

Jiulize biblia ilikuwa ya nani kwaajili ya nini? Hata hiyo kuruwani ilikuwa na madhumni gani kuletwa huku? Kwani babu na bibi zetu waliokufa kabla ya vitabu hivi hawatapata uzima wa milele? Wale watu walikula hadi kitimoto poli sasa hivi tunafuga wenyewe mnalalamika yaani viko karibu na mafiga na kisu cha KUCHINJIA mnalalamika. Go to hell all colonized mind.
 
'...my dear nimeku-miss sana nakumbuka last time walikupa ban asee pole ila msg delivered,welcome back'
 
Mkuu Eiyer naomba fafanuzi ya neno Lako hili!
 
Asante kwa maelezo yako mazuri nafikiri tutapata majibu hapahapa! Kua bible ililetwa kwa nani na kwa ajili ya nini? Na hata kuruani ililetwa kwa madhumuni gani!? Na babu Na Bibi zetu waliokufa kabla ya vitabu hivi kuja hawatapata uzima wa milele?
 
'...my dear nimeku-miss sana nakumbuka last time walikupa ban asee pole ila msg delivered,welcome back'
 
Wivu unamsumbua huyo.Kipindi niko chuon nimekula nao sana hii kitu hao na wanakula haswa....Hata huku ninakofanya kazi wanakula
 
hii kitu ni ya kuepuka kadri uwezavyo, ina athari kiafya
Kuhusu utamu mi nadhani kitamu ni chumvi na viungo flani hivi, na si kitimoto yeyenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…