Mkuu BUBE Mpaka Serikali zetu za Ki-Afrika zishtuke kuwa kwa Kutumia Utaalamu wa (GMO)
ni mbaya basi Wananchi wengi watakuwa wameshapatwa na Maradhi ya hivyo vyakula Feki vya Kutengeneza na Madawa ya (GMO)
Tujiepushe jamani na huo Utalaam Feki wa Kimarekani asante.
Waache Serikali ikubali huo Upuzi wa (GMO) na sisi tunayegunduwa Dawa za Asili ya Mitishamba za kutibu maradhi tupate wateja WaSwahili Wanasema hivi Vifo vya Wengi ni Harusi waache Serikali iruhusu na akina sisi MziziMkavu tupate wateja wa kutibu maradhi.Tupate kuingiza pesa kwa wingi.NIna kubaliana na wewe kuhusu hilo, but. Companies that promote GMOs are filthy rich! They are very influential, thus a need to have independent bodies that informs the government and consumers in particular about possible effect.
Mkuu MziziMkavu. Sipendi kukubalina na usemi wako. Maana hiyo haina tofauti na kumwacha kipofu atumbukie shimoni, huku ukitarajia kutibu kwa gharama! Hizo hela zitakuwa na ka-laana fulani. Lakini hebu turudi kwenye mada ya teknologia ya uhandisi geni kwenye mazao. Baadhi ya watu wenye msimamo wa kati wametahadharisha kuwa, endapo mazao hayo hayana madhara, ni vema ikafahamika kuwa utafiti wowote unaohusu afya (kupitia chakula) ya binadamu ukafanyika kwa muda mrefu, sio pungufu ya miaka 60 na kuendelea. Kwa nini wanasema haya? Ni kwa kuwa madhara ya kitechnolojia kama hii huchukua muda mrefu kujidhihirisha. Mara nyingine, kizazi cha pili au cha tatu (second or third generation) ndo wanaweza kuonesha madhara halisi yatokanayo na matumizi ya GMO productsWaache Serikali ikubali huo Upuzi wa (GMO) na sisi tunayegunduwa Dawa za Asili ya Mitishamba za kutibu maradhi tupate wateja WaSwahili Wanasema hivi Vifo vya Wengini ni Harusi waache Serikali iruhusu na akina sisi MziziMkavu tupate wateja wa kutibu maradhi.
Hukubaliana na mimi au unakubaliana na mimi SerikaliMkuu MziziMkavu. Sipendi kukubalina na usemi wako. Maana hiyo haina tofauti na kumwacha kipofu atumbukie shimoni, huku ukitarajia kutibu kwa gharama! Hizo hela zitakuwa na ka-laana fulani. Lakini hebu turudi kwenye mada ya teknologia ya uhandisi geni kwenye mazao. Baadhi ya watu wenye msimamo wa kati wametahadharisha kuwa, endapo mazao hayo hayana madhara, ni vema ikafahamika kuwa utafiti wowote unaohusu afya (kupitia chakula) ya binadamu ukafanyika kwa muda mrefu, sio pungufu ya miaka 60 na kuendelea. Kwa nini wanasema haya? Ni kwa kuwa madhara ya kitechnolojia kama hii huchukua muda mrefu kujidhihirisha. Mara nyingine, kizazi cha pili au cha tatu (second or third generation) ndo wanaweza kuonesha madhara halisi yatokanayo na matumizi ya GMO products
Vivyo hivyo, madhara kwa bionuai na uoto wa asili yanaweza yasionekane kwa mwaka mmoja bali kwa kipindi kirefu, na hivyo iko haja ya kuipatia muda kabla ya kuishabiikia. Kwa bahati mbaya watafiti wa GMO hawajatimiza hata miaka
70 tangia waanze kuitumia teknolojia hii. Hii ni hatari
Hukubaliana na mimi au unakubaliana na mimi Serikali
yako inaunga mkono huo upuuzi wanaoleta Watu Weupe Mkuu. Vyakula vyao vya Feki vya (GMO) hao wanaoleta hivyo
vayakula pamoja na mimea yao ya (GMO) wana pesa wamesha honga teyari kwa Viongozi wa Serikali yetu utaweza
kupinga vipi wewe wakati Serikali yako inaunga mkono huo mpango wa (GMO)?
Wewe Utafanya kitu gani zaidi ya Serikali ndio wa kuwajibika na vyakula hivyo feki vya (GMO) mimi na wewe tutafanya kitu gani zaidi ya kuandika ushauri wetu kuwa hatupendi vyakula feki vya (GMO) wewe unafikiriaje?Mzizi. Nilimaanisha kuwa sikubaliani nawe kwenye kusubiri watu wapate madhara ya GMOs na kisha wewe upate soko la kuuza mtishamba yako. Mengine ninakubaliana. Kwa maana nyingine wewe ni sehemu ya suluhisho, kwa hiyo ni vema wote (mimi, wewe na yule) tukapiga kelele kuhusu madhara haya badala ya kuilaumu serikali au kusubiri madhara yatokee ndo kina mziziMkavu na profesa Majimarefu (kidding) waje na miti(MJINI) shamba kama ndo utatuzi wa madhara hayo. Kwa maana nyingine pia, ni kwa nini tusikinge badala ya kusubiri kufanya tiba?
Si Rahisi haya madawa yangu hayana madhara kwa binadamu kabisa siwezi kukubali kutangaza kitu chenye madhara Mkuu TANMO mimi ninapiga vita Vyakula vyenye Madhara kwa binadamu vyakula vyenye madawa ya (GMO) vyakula feki kisha niunge mkono Madawa ya Mitishamba yenye Madhara? hicho kitu kwangu hakitawezekana. Hata wanipe Mapesa Mabillioni ya pesa sitakubali nitangaze Pumba mkuu hunielewi wewe mimi ni nani? MziziMkavu Hauchimbwi Dawa jina langu ndilo hilo Mkuu.MziziMkavu huenda huko mbeleni hata madawa yako ya mitishamba yatakuwa result ya GMO.....
Si Rahisi haya madawa yangu hayana madhara kwa binadamu kabisa siwezi kukubali kutangaza kitu chenye madhara Mkuu TANMO mimi ninapiga vita Vyakuıla vyenye Madhara kwa binadamu vyakula vyenye madawa ya (GMO) vyakula feki kisha niunge mkono Madawa ya Mitishamba yenye Madhara? hicho kitu kwangu hakitawezekana. Hata wanipe Mapesa Mabillioni ya pesa sitakubali nitangaze Pumba mkuu hunielewi wewe mimi ni nani? MziziMkavu Hauchimbwi Dawa jina langu ndilo hilo Mkuu.
Mkuu TANMO Mfano wako haufanani hawa wanaohusika wanatengeneza Vyakula tofauti na dawa sio Rahisi inaweza kutokea lakini huwezi kuzuia lakini hawa Watengenezaji wanatengeneza vyakula kwa faida. WAnatafuta kitu chenye kuingiza pesa kwa haraka ni chakula sio dawa mkuu.Mkuu MziziMkavu, hoja yangu kuu hapa ni hii Teknolojia ya GMO inayofanyika kwa wanyama na mimea, jinsi ilivyo changamoto kwangu na kwako pia,,,
kwa jinsi hali ilivyo itafika mahali hata miti utakayokuwa unatumia kutibu watu ikawa kwa namna moja ama nyingine imetengenezwa maabara... Simaanishi kuwa utafanya kwa makusudi bali itatokea automatic, hasa ukizingatia kuwa kadri muda unavyokwenda na uoto wa asili unazidi kupotea na unaibuka uoto wa Kimaabara, labda ufanye kazi ya kukusanya mizizi mapema kabla uoto wa asili haujapotea, lol
Kuna kitu nakifanyia analysis bila shaka nitakileta hapa siku si nyingi