Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

π‘΄π’Œπ’–π’– 𝒏𝒂𝒐𝒏𝒂𝒂 π’•π’†π’Žπ’ƒπ’ π’π’Šπ’π’‚π’›π’Šπ’…π’Š π’Œπ’–π’•π’Šπ’˜π’‚ π’Žπ’‚π’‹π’Š π’Œπ’Šπ’π’‚ π’Œπ’–π’Œπ’Šπ’„π’‰π’‚.
 
Uzi mzuri, ila kuna baadhi wameoa wasiosoma na wanamiliki na kusimamia miradi mikubwa. Tuangalie mwanamke mwenye busara japo hana elimu ya darasani, mmoja alipewa tu ng'ombe mmoja wa maziwa, akasimamia vizuri, sasa ana ng'ombe 10. Anacheza na nidhamu ya pesa. Mimi kuna wanawake nawaita maprofesa wa maisha japo hawana elimu ya darasani.
 
Hujafanya utafiti bro umeandika tu.
 
Sijasoma uzi lakini nasema hivi Mungu nipe golikipa kama Camara wa Simba ScπŸ˜…
 
Na Walio wengi ingawa sio wote wengi hujishirikisha na imani za uchawi na ushirikina.

Yani akishakuwa hana elimu, hana kazi y kumuingizia kipato kujiamini kupendana
Kwa asili kunaondoka.
Wanaambiana kabisa kuwa usipomroga Mwanaume wako ataenda kwa msomi mwenzie au mwanamke mwingine.
Wakati huo nae ukimuacha hana pakwenda, ataenda kushika wapi ?!
 
Kuna wanaume wameoa wanawake ambao sio rafiki zao.
Ushirika wao upo katika kumpanda mke na kulea watoto baaasiii πŸ‘ŒπŸ‘Œ

Hakuna stories ΕΌebyΕ› radha tamu zenye akili kubwa na kuendana.
No social intimacy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…