Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Umenifanya nirudi kusoma comment yangu.Asante
Siku zote ukiona mtu anapinga kitu kama hiki (ambacho ni constructive) either fahamu kuwa hapendi kusoma na hapendi maarifa.
Kusoma ndio kuna gharama zake kama muda, pesa n.k lakini manufaa yake ni mengi. Kupata kufahamu na kutambua mambo mbalimbali, kama ni lugha ngeni utajifunza vizuri n.k
Watu wengi ni wavivu wakufahamu vitu na ndio maana mara nyingi huwa hawawezi kujenga hoja au kuwa na reference. They alwats have lame arguments and most of the time commit logical fallacies most of them ad hominem and hasty generalization.
Usisikize watu kama hawa wao wanapenda umbea wa vijiwe vya draft na kahawa. Huko ndio wanapotoa maarifa yao ya kudanganyana.
I hope huu uzi mliwahi kuuona. Carleen Kiranga Paula Paul