Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Shikamoo unataka kuninyima nini?
Nina hamu ya kukuandikia uzi "Madhara ya Wachokozi".
Nimepewa changamoto kubwa wiki ya siku ya Kiswahili duniani 7/7/2023. Nimegundua Watanzania wengi hawajui Kiswahili, na viwango vya Kiswahili vinashuka, mpaka sisi watu wa kawaida kabisa siku hizi tunaonekana wajuzi sana, na misamiati midogo tu inafanya wengine wajione wanagenzi.
Kisukuma nipe namba tuongee ukisikie mwenyewe, maana nikiandika ile lahaja itabomoa kibodi.
Wuuuhuuuuuuu aahahahahahhaaa
1. Ntakupa vyoooooote kasoro kimoja tuuu...😜😜
2. Please do it, obey your thirsty.... I'll be in that thread too hooking up here and there...😉😉 am waiting for it, "Madhara ya Wachokozi".
3. Ooh huwa sisahau miaka kadhaa nyuma wakati Mheshimiwa Mizengo K P Pinda alikuwa waziri mkuu wa Tanzania, ilikuwa wiki ya kiswahili. Aliposimama kuongea akatamka haelewi kwanini watu siku hizi wakiongea kiswahili lazima wachanganye na kiingereza ambacho pia si fasaha...
Wakati anamalizia akatamka neno la kiingereza, hakustuka hadi baada ya sekunde kadhaa...😁😁😁😁 akajificha chini ya mimbari huku anacheka, ilifurahisha sababu kitu kilichomshangaza hata yeye anakiishi...😅😅😅 Lugha ni changamoto, inahitaji kazi kukirudisha kiswahili kwenye mstari.
4. Now you are talking, am buzzing my digits in your 📦, can't wait to hear that tone in arranged vowels...😋😋😄.
Kasinde Matata.