Madhara ya kusoma sana vitabu

Umenifanya nirudi kusoma comment yangu.

Siku zote ukiona mtu anapinga kitu kama hiki (ambacho ni constructive) either fahamu kuwa hapendi kusoma na hapendi maarifa.

Kusoma ndio kuna gharama zake kama muda, pesa n.k lakini manufaa yake ni mengi. Kupata kufahamu na kutambua mambo mbalimbali, kama ni lugha ngeni utajifunza vizuri n.k

Watu wengi ni wavivu wakufahamu vitu na ndio maana mara nyingi huwa hawawezi kujenga hoja au kuwa na reference. They alwats have lame arguments and most of the time commit logical fallacies most of them ad hominem and hasty generalization.

Usisikize watu kama hawa wao wanapenda umbea wa vijiwe vya draft na kahawa. Huko ndio wanapotoa maarifa yao ya kudanganyana.

I hope huu uzi mliwahi kuuona. Carleen Kiranga Paula Paul
 
Ni vyema ukafanyia kazi machache unayo ya jua kwa ufasaha. Kuliko kujiongezea mzigo wa kitu unaita maarifa yenye kukupa matumaini potofu ambayo hayaendani na mazingira yako halisi.
 
Ni vyema ukafanyia kazi machache unayo ya jua kwa ufasaha. Kuliko kujiongezea mzigo wa kitu unaita maarifa yenye kukupa matumaini potofu ambayo hayaendani na mazingira yako halisi.
Maarifa ni positive thing, do not limit yourself. Kile unachokiona kuwa hakikufai leo chaweza kukufaa kesho.

Usichague maarifa.
 
Kweli miluzi mingi humpoteza mbwa,Sasa tufanyeje?,Mara mtuambie tusome sana vitabu ndio kuliko jaa maarifa yote Kuhusu dunia hii,tena leo mnatuambia kusoma sana vitabu kuna madhara,sasa tushike lipi Maana mnatuchanganya???.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Maarifa ni positive thing, do not limit yourself. Kile unachokiona kuwa hakikufai leo chaweza kukufaa kesho.

Usichague maarifa.
maarifa yenye kukupa matumaini potofu ambayo hayaendani na mazingira yako halisi.
Unaweza refer comment yangu. Kuamini maarifa hayo yatakusaidia kesho nayo ni matumaini potofu.

You should grab what is useful. Sio kudhani kitakufaa
 
Usiombe ukutane na waliosoma vitabu vya Robert Kiyosaki [emoji1316][emoji1316][emoji1316] hawashaurikagi hawa watu wanaamini kuajiriwa ni utumwa.

Halafu wanaishi maisha magumu mno
Niliwahi kutana nae mmoja wa hivyo.Hapo sasa nadhani shida sio Kitabu alichokisoma shida ni Ubongo wake,Kwasababu si kila unachokisoma ktk vitabu Unaweza ukavifanya,hii ni kutokana na Mambo kadhaa 1.Mtazamo wa mwandishi kwa Wakati huo 2.Fursa zilizokuwepo Nyakati hizo 3.Mazingira ya mwandishi 4.Hali ya mwelekeo wa kijamii,kisiasa na kiuchumi kwa wakati huo,nk.Kwa hiyo huwezi kubeba kila kitu,Lazima uwe mtu wa Ku reason.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ngoja nikuambie kitu. Nimesoma vitabu, nimesikiliiza vitabu na nimeangalia vitabu akuna cha maana utakipata kwenye maisha yako halisi ukiwa na watanzania wenzako. Ukitaka kusoma, soma kama burudani( yani uwe mjuaji) tu usitegemee zaidi ya hapo.
 
Unaweza refer comment yangu. Kuamini maarifa hayo yatakusaidia kesho nayo ni matumaini potofu.

You should grab what is useful. Sio kudhani kitakufaa
Ume focus kwenye "matumaini potofu" tu. Seems your scope of understanding things is very narrow.

Man grab and thinks at the same time. Usi focus tu kwenye ku grab what's at hand. There are things you should know that you do not know which may be useful in the future.

There are a lot of lessons to be learnt as long as you are still living.

Do not limit yourself. And I won't argue no more.
 
There are things you should know that you do not know which may be useful in the future.
Unadhani kipi ni sahihi kati ya mtu ku-turn kile anachokijua sasa into useful state au kuendelea kupokea maarifa ambayo anadhani narudia tena anadhani ya hana uhakika kama yatasaidia siku za mbeleni.
 
Kusoma ni matumizi sahihi ya muda, kutakuwezesha kutumia muda kwa manufaa.

Kununua Vitabu ni matumizi sahihi ya pesa. Maarifa utakayopata yaweza kukumilikisha hata kiwanda cha pesa
 
Ni vyema ukafanyia kazi machache unayo ya jua kwa ufasaha. Kuliko kujiongezea mzigo wa kitu unaita maarifa yenye kukupa matumaini potofu ambayo hayaendani na mazingira yako halisi.
Maarifa si mzigo kama ambavyo shibe si mzigo. Kama unavyopaswa kula kila siku ndivyo unavyopaswa kusoma kila siku.

Kadri unavyofahamu mengi kwa ufasaha , ndivyo unavyopata "uwanja" mpana wa kufanyia maamuzi.
 
Mkuu ngoja nikuambie kitu. Nimesoma vitabu, nimesikiliiza vitabu na nimeangalia vitabu akuna cha maana utakipata kwenye maisha yako halisi ukiwa na watanzania wenzako. Ukitaka kusoma, soma kama burudani( yani uwe mjuaji) tu usitegemee zaidi ya hapo.
Siyo kweli mkuu. Inategemeana na Vitabu ulivyovisoma n.k. Wengine tumefika tilikofika kwa sababu ya bidii ya kusoma Vitabu vizuri.
 
Yaani ulichoandika ni very true. Mtu anakuambia alikuwa hana pa kulala ila analala kwenye gari 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Wewe una pakulala ila ndoto ya gari hata huioni ikitimia any time soon hapo ndio utajua tunatofautiana sana mazingira
 
Unadhani kipi ni sahihi kati ya mtu ku-turn kile anachokijua sasa into useful state au kuendelea kupokea maarifa ambayo anadhani narudia tena anadhani ya hana uhakika kama yatasaidia siku za mbeleni.
Endelea kusoma huku unaendelea kutendea kazi ulichojifunza. Hakuna hasara ya kukirudia kitabu mara kimoja hata mara elfu moja. Kadiri unavyokisoma kwa kurudia rudia, ndivyo akili yako itakavyoweza kung'amua ambacho hukukiona mwanzoni.
 
Faida ya kusoma vitabu, utayajua Mambo kiundani na kufanya Maamuzi kwa usahihi. Hasara ya kutosoma vitabu, kutoyajua mambo kuendeshwa Kama nyumbu
Kutokusoma vitabu pia humfanya asiyejia asijue kuwa hajui.
 
Huu uzi wako ni kama ule ushauri wa Dr Janabi kwamba tusile chapati ni mbaya kiafya. Cha muhimu kila kitu kwa kiasi. Ukiwa na mpenzi jitahidi kuongea nae vitu vyepesi tena wakati mwingine jifanye kumsapoti kwenye mada zake za kike zilizokaa kimbea ili kwenda nae sawa. Ukianza kumlazimisha akusikilize kwenye mambo magumu ya vitabuni utamvuruga.

Niliacha kusoma vitabu vya kina Kiyosaki na kusikiliza inspiration stories baada ya kugundua ili utoboe bongo mambo huwa yanakuwa mengi sana. Yaani njia ni rafu mno hakuna cha Motivational speaker walà nini.
 
Nimemsoma OP. Lazy assumptions tupu.
 
Nimemsoma OP. Lazy assumptions tupu.

Shkamoo Kiranga...
Nna hamu ya kukuchokoza ila upako haupo...

Well, kitambo sijaona ukiandika kwa kuchanganya lugha kwenye sentensi zako.

Ila ukiandika kisukuma unakuwaga bangeshi skwea bin kubik...😉

Happy hump day 🥂.
 
Shikamoo unataka kuninyima nini?

Nina hamu ya kukuandikia uzi "Madhara ya Wachokozi".

Nimepewa changamoto kubwa wiki ya siku ya Kiswahili duniani 7/7/2023. Nimegundua Watanzania wengi hawajui Kiswahili, na viwango vya Kiswahili vinashuka, mpaka sisi watu wa kawaida kabisa siku hizi tunaonekana wajuzi sana, na misamiati midogo tu inafanya wengine wajione wanagenzi.

Kisukuma nipe namba tuongee ukisikie mwenyewe, maana nikiandika ile lahaja itabomoa kibodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…