Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

Ndo maana kuna mental illness
 
Mama amekua mbinafsi kiasi cha kujidhurumu mwenyewe haki yake ya kuishi
 
Kwanini huwa mnagombania mirathi?
Ni umasikini au
Kwanini zisiwe za wote tu kama mnaamua hivyo na je zimefuatwa taraibu za dini gani au mila zipi
 
Ndo hivyo yashatokea.
Nafikili watakuwepo tuu wanaambaa macho.

Kumbuka aliyechukua mali hakuwa mke wa marehemu
 
Bro wangu yupo USA,
Alikutana na mtoto wao mmoja anaishi Washington DC.
Ameoa mzungu na ana watoto wa kiume 2.

Anafanya kazi kwenye bank moja moja ameajiri kabisa.
Daa bro alimwambia mzee pale wanalipa mshahara mzuri kweli kama $25,000/= kwa mwezi kwa jumla. Ila yeye anaelimu kubwa.
ntundaga
Black Sniper
Nzagambaaa
Peaceforever
To yeye
 
Vijana wenyewe hawana hata mpango wa kuja tena. Wapo huko USA , na wanauraia kbs.
 
Sasa na yeye anakufaje kizembe

Msongo wa maawazo wa kujitakia, ni hizo mali ama ni nini? Kwani watoto waliozaliwa wana makosa gani. Huo ni ubinafsi.
Mimi nimebaz hasa kwa watoto wa Baba wale kubadili jina kbs.
 
Inaumiza,mmepambanaa weweee mmeejinyimaa wee,mshua anadodoka danga tu anakujaa takaa mgaoo na wanaee bila jashoo. Si aletee na zakee tugawaneeee!
Kwa ubande mwingine utasema yesu.
Ile sheria ya kusema watoto hawana makosa. Ipo sahihi.
Ila inachukuliwa fursa na madanga.
Kupata mgao.
Na mara nyingi wanawake wanaozaa na wanaume za watu , lengo lake kubwa ni kuvizia mali za yule baba, alizoshilikiana na mke wake kuzijenga.
 
Sasa huyo maza alikuwa mlafi yaani unakufa kihoro kisa mali
 
Kama huna mali na hutegemei kuwa nazo yeyote atakayejipitisha wee zaa nae.. unaweza kuja kupata mtoto atakayekukupa mali
 
Sasa na hao watoto wa baba kuondoka na kubadili mpk jina la mwisho.
Bro wangu alikutana na mmoja usa. Wapo fresh tuu na familia yako ila ndo hivyo wapo tuu huko. Hkn mpango hata wa kurudi
 
kati ya kitu ambacho mimi sitakuja kufanya ni kuficha watoto wangu niliowazaa eti kisa nimewazaa nje ya ndoa. Watoto wangu ni lazima watambulike na wafaidi mali zangu.
 
Mahusiano yoyote yana pande zote mbili, hasi na chanya!

Kwenye baadhi ya familia yaweza kutokeza vita
Vipo vita baina ya watoto wa nje ya ndoa vesus watoto ndoa
Vipo vita baina ya watoto wa nje ya ndoa vesus baba yao aliyewazaa
Vipo vita baina ya watoto wa nje ya ndoa vesus mama wa kambo ambayo ndiye mke rasmi wa baba yao


Kumbe Basi,
Kwenye baadhi ya familia yaweza kutokeza heri
Watoto wa nje ya ndoa kuwa heri kwa baba aliyemzaa
Watoto wa nje ya ndoa kuwa heri kwa mama wa kambo mke wa baba yake aliyemzaa
Watoto wa nje ya ndoa kuwa heri kwa ndugu zake za ndani ya ndoa

Kwahio,
Maadam mtoto wa nje ya ndoa aweza kuwa na upande wa faida au hasara, haiwezekani kusema ni madhara kuzaa nje ya ndoa

Hasara ya kuzaa mtoto inapatikana kwenye ndoa pia nje ya ndoa

Faida ya kuzaa mtoto inapatikana kwenye ndoa pia nje ya ndoa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kifupi hatuachi kuzaa nje pia story yako haieleweki..😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…