Madhara ya Marufuku Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa

Mgombea wa urais wa Muungano kupitia CCM John Pombe Joseph Magufuli aanza kuyumba:

Ahaidi kuwa serikali ya CCM Mpya haitawabomolea wananchi nyumba zao serikali ikifanya miradi ya Maendeleo bali itatafuta namna miradi iwafikie wananchi popote walipo bila bomoabomoa

Asante mgombea wa CHADEMA urais wa Muungano Tundu Lissu kwa kutetea wananchi wasio na sauti dhidi ya mipango ya miradi ya Maendeleo ya serikali isiyojali wananchi ya CCM Mpya kuendekeza ubabe mfano bomoabomoa, hivyo hatuwezi tena kuwaamini CCM Mpya waendelee kuwepo Ikulu, sasa basi tunaimani na Tundu Lissu awe rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo Oktoba 2020
 
Hatimaye tumeona CCM imeelemewa kimkakati na vyama vilivyopigwa marufuku haramu isiyo ya kikatiba visifanye shughuli za kisiasa kwa miaka 4 na 1/2 .

Ni CCM Mpya ndiyo imeathirika sana sasa kwa miezi hii ktk mchakato mzima wa kuelekea uchaguzi mkuu Agosti, September na Oktoba 2020.

CCM Mpya imekuwa kama imepigwa ganzi hawawezi kutetea sera zao wamebaki kutuonesha huku wakipunga vitabu vya ilani hewa bila uwezo wa kuvielezea wala kutetea vilivyomo ndani ya vitabu hivyo.

CCM Mpya kimejidhihirisha si tena chama cha siasa cha kuweza kushawishi watu bali kimekuwa dhahiri chama cha kisiasa kilichoishiwa pumzi na kuwa Chama Dola cha kutisha watu kinachoongozwa na genge la watu wasiozidi wanne.

Hicho CCM Mpya inachoita maoni yaliyokusanywa toka kwa wananchi na kuwa ilani ya CCM Mpya kuelekea uchaguzi mkuu 2020, mpaka hii tarehe 21 September 2020 makada, madiwani, wabunge, mgombea urais na viongozi wa CCM Mpya wameshindwa kukitumia kushawishi waTanzania na hii inaonyesha siyo kweli walikusanya maoni huru toka kwa watu huru wenye kiu ya haki na maendeleo ya watu.
 
14 August 2020
Hai, Kilimanjaro
Tanzania

Madhara ya Marufuku ya Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa na kutishia machafuko nchini
Kufuatia kupigwa marufuku shughuli
za kisiasa Tanzania sasa tunaona madhara yake katika maeneo fulani. Na athari zake zimekuwa kubwa kabisa kwa upande wa CCM kwa wanachama, makada, wafuasi na wapenzi wake kukosa kufuata sheria, jadi , kawaida ya waTanzania kushindanisha hoja kwa kutumia ushawishi na kubaki na ulemavu wa kifikra kuamua kutumia nguvu na mabavu.

Video : Tukio la wanaCCM jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro
​

Shughuli za kisiasa zilitumika kutoa elimu ya kiuraia kuwajenga Watanzania kuamini katika kupiga kura ndiyo njia sahihi ya kumkataa mwanasiasa fulani baada ya kusikiliza hoja zake.

Lakini sasa tunaona baada ya viongozi wa juu wa nchi mwaka 2016 kuamua kuachana na haki hiyo ya msingi kabisa ya kikatiba kwa kupiga marufuku shughuli za kisiasa sasa baadhi ya waTanzania nao wameonesha wamekosa uvumilivu na kupoteza ufahamu kuwa huwezi kumpiga marufuku mwanasiasa fulani kufika eneo lako kisa mnatofautiana ktk mitizamo ya kiitikadi na mpo chama tofauti.

Tuliyoyaona kule wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ni matunda ya serikali ya CCM Mpya kupiga marufuku viongozi wa vyama vya upinzani kufika maeneo fulani kwa miaka 5 sasa, sababu watawala wa CCM wanadai mbunge wa chama fulani siyo eneo lake la kibunge au kuwa uchaguzi umeisha hivyo hakuna kuendelea kufanya siasa za hoja kujenga ushawishi.

Katiba ya nchi iliona mbali kuwa ruhusa ya kufanya siasa ni afya kwa utulivu wa nchi ili ikifikia kipindi cha kampeni waTanzania wasiwe wabaguzi wa kisiasa au kimaeneo bali wawe na ufahamu wa kufanya maamuzi kupitia sanduku la kura.

Tumeona wanaojiita wanaomtetea Magufuli kuwa hawataki kuona watu wengine wanafika maeneo yao kwa kuwa hawajawaona kufika huko kwao, bila kufahamu kuwa wanasiasa hao wa upinzani walipigwa marufuku.

Na kuthibitisha wanaigiza tabia za viongozi wa juu wa serikali ya CCM Mpya wamejaribu na wao kufanya jaribio la mwendelezo haramu wa marufuku kwa kufunga barabara, kufanya vurugu na kupandisha mabango ya shutuma kuwa wanasiasa wa vyama vingine ni mabeberu, vibaraka wa wazungu n.k

Hii siyo afya nzuri kwa siasa za Tanzania kwa wananchi kuacha kutumia sanduku la kura kufanya uamuzi na kuamua kutumia njia zingine sisizotambulika kupeleka ujumbe hawataki uchaguzi, wagombea wa vyama vingine na kampeni za kisiasa.

Kama nilivyojaribu kufafanua haya ndiyo matunda na matokeo ya kuminya siasa kufanyika, kuzuia midahalo, kuzuia kutoa maoni ktk vyombo vya habari, asasi za kiraia NGO, kuwaumiza wapinzani na sasa vikundi vya watu huko Hai Kilimanjaro wameamua kuiga vitendo vya serikali na watawala wa CCM Mpya kujichukulia sheria mikononi, kupuuza haki za mtanzania na mwanasiasa kujumuika na waTanzania wa mikoa, wilaya na majimbo mengine kufanya shughuli za kisiasa.

Hali hii isipodhibitiwa na serikali ya CCM nchi itakuwa haifuati utawala wa sheria na katiba kuanzia ngazi za viongozi waliopo ktk nafasi za uongozi wa dola na mpaka mitaani kama tulivyoona kwa baadhi ya wananchi wa wilaya ya Hai.

Nadhani hili tukio la watu kukosa uelewa wa haki za kiuraia za kwao na za wengine kufanya shughuli za kisiasa, wasomi na wazoefu kama Mzee Pius Msekwa wataona walikosea kuunga mkono kuzuia shughuli za kisiasa na kuwa ni hatari kwa usalama wa nchi pia kinyume na vile walivyofikiria wakati walipounga mkono marufuku ya kufanya siasa baada ya uchaguzi kuisha 2015.

Published on 10 Jul 2018
Video hii ikimuonesha mmojawapo wa thinktank ya CCM Mpya ikimuunga mkono Magufuli kupiga marufuku shughuli za kisiasa
Pius Msekwa: Hauoni kwamba kuzuia mikutano ya hadhara ni kuuwa upinzani?, Sumaye alinihoji

​

Ukweli mtupu, walizoea walishangiliwa wao tu
 
Ccm vuneni mapando yenu tulikuonyeni msizuie mikutano ya siasa kwamba mtakosa hoja za kujibu huku wananchi wakiwa na hamu kubwa Sana ya kutaka kusikia toka upinzani baada ya yenu kumaliza kuyaongea 5 yrs zaidi Ni marudio tu.
Haya Sasa jibuni hili la hoja ya cheti Cha kuzaliwa Cha mgombea wenu.
 
Zuio la mikutano ya siasa ccm ndo wameloose zaidi, kuuwa upinzani sio rahisi Kama ilivo kufanya ngono.
Huwezi uwa upinzani kwa kumsomesha watu namba
 
Hatimaye tumeona CCM imeelemewa kimkakati na vyama vilivyopigwa visifanye shughuli za kisiasa kwa miaka 4 na 1/2 .

Ni CCM Mpya ndiyo imeathirika sana sasa kwa miezi hii ktk mchakato mzima wa kuelekea uchaguzi mkuu Agosti, September na Oktoba 2020.

CCM Mpya imekuwa kama imepigwa ganzi hawawezi kutetea sera zao wamebaki kutuonesha huku wakipunga vitabu vya ilani hewa bila uwezo wa kuvielezea wala kutetea vilivyomo ndani ya vitabu hivy
Mtaji wa chama chochote Cha siasa ni watu na sio dola, anaemiliki watu ndie anaemiliki dola ukiwa buku 7 huwezi elewa hii
 
22 September 2020
Igalula ,Tanzania

Mgombea wa CCM Mpya John Magufuli akihutubia baada ya kuisoma Ilani ya CHADEMA

Magufuli alilia Utaifa, ataka kuendelea kuteua maRC, maDC, maDeD maana Taifa ili kupinga sera za ubaguzi za majimbo. Asoma live ilani ya CHADEMA (anasema neno la kikabila kwa masikitiko), anachambua dhamana ya madini,.....
 
Mambo yanazidi kunoga baada ya kuondoa marufuku ya siasa kipindi hiki cha kampeni kuelekea Oktoba 2020 ambapo sasa vyama vinalinganisha sera zao mbele ya wananchi wawachague kuongoza serikali.
 
22 September 2020
Igalula ,Tanzania

Magufuli alilia Utaifa, ataka kuendelea kuteua maRC, maDC, maDeD maana Taifa ili kupinga sera za ubaguzi za majimbo. Asoma live ilani ya CHADEMA (anasema neno la kikabila kwa masikitiko), anachambua dhamana ya madini,.....

22 Oktoba 2020
Karagwe, Kagera
Tundu Lissu aifafanua hoja ya mgombea wa CCM kuwa na wasiwasi juu ya majimbo
Sera ya mkoloni ya majimbo ni sawa na sera ya CCM ya wakuu wa mikoa na wilaya kuteuliwa na raid Dar es Salaam kama Gavana wa kikoloni alivyofanya enzi kabla ya uhuru.

Sera ya majimbo ya CHADEMA ni kuondoa ukiritimba wa Rais kuwachagulia viongozi wao. Hii itawafanya viongozi wa kuteuliwa na wananchi ktk majimbo kuweza kuwajibishwa akiharibu mambo bila kukingiwa kifua na Rais huko Dar es Salaam...
 
Musoma, Mara
Tanzania

MGOMBEA AKOSA UVUMILIVU

Mgombea wa CCM ngazi ya Urais akiongea na wananchi wa mkoa wa Mara nchini Tanzania katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020
Hivi ni hofu au nini? Mbona kama anajichanganya, anasema amewapandisha madaraja na hivyo mishahara yao itaongezeka. Hapohapo anasema ameshawaahidi wafanyakazi kuwa kabla muda wake haujaisha atawaongezea mishahara. [emoji23][emoji23]
 
14 August 2020
Hai, Kilimanjaro
Tanzania

Madhara ya Marufuku ya Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa na kutishia machafuko nchini
Kufuatia kupigwa marufuku shughuli
za kisiasa Tanzania sasa tunaona madhara yake katika maeneo fulani. Na athari zake zimekuwa kubwa kabisa kwa upande wa CCM kwa wanachama, makada, wafuasi na wapenzi wake kukosa kufuata sheria, jadi , kawaida ya waTanzania kushindanisha hoja kwa kutumia ushawishi na kubaki na ulemavu wa kifikra kuamua kutumia nguvu na mabavu.

Video : Tukio la wanaCCM jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro
​

Shughuli za kisiasa zilitumika kutoa elimu ya kiuraia kuwajenga Watanzania kuamini katika kupiga kura ndiyo njia sahihi ya kumkataa mwanasiasa fulani baada ya kusikiliza hoja zake.

Lakini sasa tunaona baada ya viongozi wa juu wa nchi mwaka 2016 kuamua kuachana na haki hiyo ya msingi kabisa ya kikatiba kwa kupiga marufuku shughuli za kisiasa sasa baadhi ya waTanzania nao wameonesha wamekosa uvumilivu na kupoteza ufahamu kuwa huwezi kumpiga marufuku mwanasiasa fulani kufika eneo lako kisa mnatofautiana ktk mitizamo ya kiitikadi na mpo chama tofauti.

Tuliyoyaona kule wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ni matunda ya serikali ya CCM Mpya kupiga marufuku viongozi wa vyama vya upinzani kufika maeneo fulani kwa miaka 5 sasa, sababu watawala wa CCM wanadai mbunge wa chama fulani siyo eneo lake la kibunge au kuwa uchaguzi umeisha hivyo hakuna kuendelea kufanya siasa za hoja kujenga ushawishi.

Katiba ya nchi iliona mbali kuwa ruhusa ya kufanya siasa ni afya kwa utulivu wa nchi ili ikifikia kipindi cha kampeni waTanzania wasiwe wabaguzi wa kisiasa au kimaeneo bali wawe na ufahamu wa kufanya maamuzi kupitia sanduku la kura.

Tumeona wanaojiita wanaomtetea Magufuli kuwa hawataki kuona watu wengine wanafika maeneo yao kwa kuwa hawajawaona kufika huko kwao, bila kufahamu kuwa wanasiasa hao wa upinzani walipigwa marufuku.

Na kuthibitisha wanaigiza tabia za viongozi wa juu wa serikali ya CCM Mpya wamejaribu na wao kufanya jaribio la mwendelezo haramu wa marufuku kwa kufunga barabara, kufanya vurugu na kupandisha mabango ya shutuma kuwa wanasiasa wa vyama vingine ni mabeberu, vibaraka wa wazungu n.k

Hii siyo afya nzuri kwa siasa za Tanzania kwa wananchi kuacha kutumia sanduku la kura kufanya uamuzi na kuamua kutumia njia zingine sisizotambulika kupeleka ujumbe hawataki uchaguzi, wagombea wa vyama vingine na kampeni za kisiasa.

Kama nilivyojaribu kufafanua haya ndiyo matunda na matokeo ya kuminya siasa kufanyika, kuzuia midahalo, kuzuia kutoa maoni ktk vyombo vya habari, asasi za kiraia NGO, kuwaumiza wapinzani na sasa vikundi vya watu huko Hai Kilimanjaro wameamua kuiga vitendo vya serikali na watawala wa CCM Mpya kujichukulia sheria mikononi, kupuuza haki za mtanzania na mwanasiasa kujumuika na waTanzania wa mikoa, wilaya na majimbo mengine kufanya shughuli za kisiasa.

Hali hii isipodhibitiwa na serikali ya CCM nchi itakuwa haifuati utawala wa sheria na katiba kuanzia ngazi za viongozi waliopo ktk nafasi za uongozi wa dola na mpaka mitaani kama tulivyoona kwa baadhi ya wananchi wa wilaya ya Hai.

Nadhani hili tukio la watu kukosa uelewa wa haki za kiuraia za kwao na za wengine kufanya shughuli za kisiasa, wasomi na wazoefu kama Mzee Pius Msekwa wataona walikosea kuunga mkono kuzuia shughuli za kisiasa na kuwa ni hatari kwa usalama wa nchi pia kinyume na vile walivyofikiria wakati walipounga mkono marufuku ya kufanya siasa baada ya uchaguzi kuisha 2015.

Published on 10 Jul 2018
Video hii ikimuonesha mmojawapo wa thinktank ya CCM Mpya ikimuunga mkono Magufuli kupiga marufuku shughuli za kisiasa
Pius Msekwa: Hauoni kwamba kuzuia mikutano ya hadhara ni kuuwa upinzani?, Sumaye alinihoji

​

Sio kweli. Na naomba ashinde ili iwe mpaka 2025 huku ili tupige kazi tu. Magufuli tano tena.
 
Naona unamsahau Magu. Huyu bwana akiwa kanisani au kwenye mikutano ya watumishi wa Mungu ni malaika mkamilifu. Na akishatoka hapo anakuwa shetani aliyekamilika pia. Pale kwenye mkutano wa TAG lazima aone mkono wa Mungu, lakini nje ya mkutano anaona mkono wa shetani.
 
Attachments

Hivi ni hofu au nini? Mbona kama anajichanganya, anasema amewapandisha madaraja na hivyo mishahara yao itaongezeka. Hapohapo anasema ameshawaahidi wafanyakazi kuwa kabla muda wake haujaisha atawaongezea mishahara. [emoji23][emoji23]

Ndiyo uzuri wa shughuli za kisiasa kuwa na muendelezo hata baada ya Uchaguzi maana wananchi watakuwa uhuru wa kuhoji na kuhoji iwe wanaona ujenzi wa mradi mkubwa wa uwanja wa ndege unaendelea kijijini Chato bila kuidhinishwa na Bunge na kuhoji kama mradi huo unamanufaa kama kipaumbele kwa wanaChato au waTanzania kwa ujumla n.k n.k
 
TUNDU LISSU AFICHUA UWIZI WA FEDHA ZA UMMA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE CHATO

Tungeweza kudhibiti ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa Chato usifanyike kama shughuli za kisiasa zisingepigwa marufuku, hii ndiyo miongoni mwa madhara mengi ya kiuchumi, kidemokrasia na haki za binadamu yaliyotendeka chini ya mwamvuli wa marufuku haramu ya kuzuia shughuli za kisiasa na kuwa na Bunge butu
 
21 March 2022
Dar es Salaam, Tanzania

MAPOKEZI YA MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO BAB KUBWA |DAR YAFURIKA

20 March 2022
Machame, Kilimanjaro

WATANZANIA WAUMINI WAIMBA KWA HISIA NA FAMILIA YA MBOWE WAKATI WA IBADA YA SHUKRANI

21 March 2022
Dar es Salaam, Tanzania

SAMIA AKITARAJIA Kuzindua DARAJA LA TANZANITE, JIONEE VIGOGO WA CCM WALIVYOLIKAGUA..

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitarajia kuzinda Daraja jipya la Tanzanite Machi 24,2022, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mama Kate Kamba na kamati nzima ya siasa ngazi ya Mkoa wametemembelea daraja hilo na kujionea hatua iliyofikia ambapo wameridhishwa na ujenzi wa daraja hilo kwani linapunguza foleni kuelekea mjini.
 
21 March 2022

Rais Samia : Vyombo vya habari msielemee upande mmoja

Rais Samia akipokea taarifa ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa
 
14 August 2020
Hai, Kilimanjaro
Tanzania

Madhara ya Marufuku ya Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa na kutishia machafuko nchini
Kufuatia kupigwa marufuku shughuli
za kisiasa Tanzania sasa tunaona madhara yake katika maeneo fulani. Na athari zake zimekuwa kubwa kabisa kwa upande wa CCM kwa wanachama, makada, wafuasi na wapenzi wake kukosa kufuata sheria, jadi , kawaida ya waTanzania kushindanisha hoja kwa kutumia ushawishi na kubaki na ulemavu wa kifikra kuamua kutumia nguvu na mabavu.

Video : Tukio la wanaCCM jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro
​

Shughuli za kisiasa zilitumika kutoa elimu ya kiuraia kuwajenga Watanzania kuamini katika kupiga kura ndiyo njia sahihi ya kumkataa mwanasiasa fulani baada ya kusikiliza hoja zake.

Lakini sasa tunaona baada ya viongozi wa juu wa nchi mwaka 2016 kuamua kuachana na haki hiyo ya msingi kabisa ya kikatiba kwa kupiga marufuku shughuli za kisiasa sasa baadhi ya waTanzania nao wameonesha wamekosa uvumilivu na kupoteza ufahamu kuwa huwezi kumpiga marufuku mwanasiasa fulani kufika eneo lako kisa mnatofautiana ktk mitizamo ya kiitikadi na mpo chama tofauti.

Tuliyoyaona kule wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ni matunda ya serikali ya CCM Mpya kupiga marufuku viongozi wa vyama vya upinzani kufika maeneo fulani kwa miaka 5 sasa, sababu watawala wa CCM wanadai mbunge wa chama fulani siyo eneo lake la kibunge au kuwa uchaguzi umeisha hivyo hakuna kuendelea kufanya siasa za hoja kujenga ushawishi.

Katiba ya nchi iliona mbali kuwa ruhusa ya kufanya siasa ni afya kwa utulivu wa nchi ili ikifikia kipindi cha kampeni waTanzania wasiwe wabaguzi wa kisiasa au kimaeneo bali wawe na ufahamu wa kufanya maamuzi kupitia sanduku la kura.

Tumeona wanaojiita wanaomtetea Magufuli kuwa hawataki kuona watu wengine wanafika maeneo yao kwa kuwa hawajawaona kufika huko kwao, bila kufahamu kuwa wanasiasa hao wa upinzani walipigwa marufuku.

Na kuthibitisha wanaigiza tabia za viongozi wa juu wa serikali ya CCM Mpya wamejaribu na wao kufanya jaribio la mwendelezo haramu wa marufuku kwa kufunga barabara, kufanya vurugu na kupandisha mabango ya shutuma kuwa wanasiasa wa vyama vingine ni mabeberu, vibaraka wa wazungu n.k

Hii siyo afya nzuri kwa siasa za Tanzania kwa wananchi kuacha kutumia sanduku la kura kufanya uamuzi na kuamua kutumia njia zingine sisizotambulika kupeleka ujumbe hawataki uchaguzi, wagombea wa vyama vingine na kampeni za kisiasa.

Kama nilivyojaribu kufafanua haya ndiyo matunda na matokeo ya kuminya siasa kufanyika, kuzuia midahalo, kuzuia kutoa maoni ktk vyombo vya habari, asasi za kiraia NGO, kuwaumiza wapinzani na sasa vikundi vya watu huko Hai Kilimanjaro wameamua kuiga vitendo vya serikali na watawala wa CCM Mpya kujichukulia sheria mikononi, kupuuza haki za mtanzania na mwanasiasa kujumuika na waTanzania wa mikoa, wilaya na majimbo mengine kufanya shughuli za kisiasa.

Hali hii isipodhibitiwa na serikali ya CCM nchi itakuwa haifuati utawala wa sheria na katiba kuanzia ngazi za viongozi waliopo ktk nafasi za uongozi wa dola na mpaka mitaani kama tulivyoona kwa baadhi ya wananchi wa wilaya ya Hai.

Nadhani hili tukio la watu kukosa uelewa wa haki za kiuraia za kwao na za wengine kufanya shughuli za kisiasa, wasomi na wazoefu kama Mzee Pius Msekwa wataona walikosea kuunga mkono kuzuia shughuli za kisiasa na kuwa ni hatari kwa usalama wa nchi pia kinyume na vile walivyofikiria wakati walipounga mkono marufuku ya kufanya siasa baada ya uchaguzi kuisha 2015.

Published on 10 Jul 2018
Video hii ikimuonesha mmojawapo wa thinktank ya CCM Mpya ikimuunga mkono Magufuli kupiga marufuku shughuli za kisiasa
Pius Msekwa: Hauoni kwamba kuzuia mikutano ya hadhara ni kuuwa upinzani?, Sumaye alinihoji

​

mambo yanadhidi kuwa hadharani
 
21 March 2022

Rais Samia : Vyombo vya habari msielemee upande mmoja

Rais Samia akipokea taarifa ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa

Kwamba ccm huwa inakuwa na mahusiano mazuri na vyombo vya habari wakati wa uchaaguzi tu. Kwani hajui sababu ni nini?? Bahasha mama
 
Back
Top Bottom