Madhara ya Mvua Bukoba: Zaidi ya Kaya 50 kata ya Kahororo nyumba zao zajaa maji

Madhara ya Mvua Bukoba: Zaidi ya Kaya 50 kata ya Kahororo nyumba zao zajaa maji

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Zaidi ya kaya 50 kutoka kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zinaomba msaada kwa serikali baada ya nyumba zao kujaa maji na kusababisha wakose sehemu ya kuishi.

Lile bwawa halikufanyiwa EIA ona sasa tabu nchi nzima
 
Back
Top Bottom