Kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya mwanaume kuoa mwanamke asiyempeda. (Na kwa taarifa yako zipo ndoa nyingi za namna hiyo).
Sababu hizo ni mwanaume:-
1. Kumkosa mke wa ndoto yake.
2. Kuachwa ama kufiwa na mke aliyempenda sana.
3. Kuachiwa watoto wadogo ghafla kwasabb ya talaka ama kifo.
4. Kumpa mimba mwanamke ambaye ni wa kutolea upwiru tu e.g baamedi, housegirl, mdangaji, n .k.
Madhara yake:-
1. Kumkinai kuko nje nje.
2. Kuchepuka kuko nje nje.
3. Dharau kwa mke zinakuwa nyingi.
4. Kumtoa out inakuwa kama laana.
5. Kumpa hela ni kwa mbinde na matusi juu.
Kuoa mwanamke kwa sababu nyingine na siyo upendo toka moyoni ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika.
N.B. Mwanaume akimpenda mke, mke atamheshimu mume na ndoa itakuwa na furaha.
By kungwi Sexless