Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwa mabenk ya kibongo sometimes unatamani hata uwe unaweka pesa nje. though kama kuna utapeli na uvunjaji wa sheria, kushughulikia watu wa aina hiyo sio mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kaamua kazi kweli inabid tuanze kusikia mizigo mikubwa ambayo haijalipa kodi inakamatwa,watumishi wa umma na viongozi wanawajibishwa wale wanaoendelea kutafuna hela za ummaNdio maana kila siku huwa nasema jamii ya kiafrika imejaa watu wapumbavu wasio jua wanataka nn.
Hivi nyinyi sindo mlikuwa mnamsema mama kuwa ni dhaifu na ameacha nchi ichezewe hovyo leo hii anataka kudhibiti hayo mambo ya hovyo tena mnalalamika.
Sasa wakikwepa kodi c peleka maahakamani huo utaratibu wa magufuli ushapitwa na wakatiTulipe Kodi kwa Maendeleo ya Taifa.
Wafanyabiashara wanakwepa sana Kodi.
kabla ya kufka huku ilikuwa inawezekana kabisa diamond kuitwa na mamlaka za juu tu wakaongea yakaisha! hao benki watayumba sana kiuchumi hao wasubirie tuHivi mpaka TRA wanafikia stage ya kufunga account ya mtu maana yake sio kwamba wameshayazungumza mpaka wakachoka?
Sitaki kuamini kama TRA wanaamua kuwa wababe tu kwa mtu bila sababu za msingi, hapa ni vile TRA wamesema kuna sheria iliyowazuia kufunguka kwa upande wao, inawezekana Diamond alilalamika ili kutafuta public sympathy tu.
Kwa maelezo yako rais anafanya kazi kwa maelekezo ya Mwigulu?Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani!
Kitakachofuatia ni watu kuondoa fedha zao Benki kama ilivyokuwa kwa Magufuli, soon mtapata majibu yenu kwenye uchumi!
Huu uhuni nina uhakika MWIGULU yumo ndani yake maana ndiye anayeongoza Genge la kumdanganya mama ili aanguke waseme hawezi kazi!
Wafanyabiashara wa ndani wanatakiwa kusimamiwa kutumia mashine za EFD tu! mengine hayafai kuyafanya mbele ya jamii!
Wahuni wapinzani wa SAMIA ndani ya SERIKALI ndio wanafanya haya mambo!
Narudia tena huyu ni Mwigulu anautamani Urais anaona mama atamchelewesha!
Magufuli ali block bureau de change kuwakomoa wafanyabiashara wasibadili hela kuwa dola na kwenda kuzificha makwao lakini bado walimshinda mbinu! Sasa jiandaeni na anguko la mapato hamtasahau.
Mama amka usingizini! fukuza mkuu wa usalama wa Taifa utakuja kunishukuru baadae.
Lipa Kodi....Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani!

AiseeNasisitiza tuendelee kukwepa kodi. Maana kodi zetu zinaishia kuliwa na viongozi wajanja
Inasemekana makusanyo ni mazuri sana kuliko kipindi chochote hapo nyuma. Pia Marejesho ya mikopo ni maradufu.Tulipe Kodi kwa Maendeleo ya Taifa.
Wafanyabiashara wanakwepa sana Kodi.
Ni mfanyabiashara gani anayekwepa kodi unayemfahamu wewe? Watu wanapenda sana kuropoka. Ukimwuliza hajui chochote.Tulipe Kodi kwa Maendeleo ya Taifa.
Wafanyabiashara wanakwepa sana Kodi.
Alafu kesho utamuona jukwaani aliimba " Ccm baba Lao" pumbavu kabisa ache anyooshwe.Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani!
Kitakachofuatia ni watu kuondoa fedha zao Benki kama ilivyokuwa kwa Magufuli, soon mtapata majibu yenu kwenye uchumi!
Huu uhuni nina uhakika MWIGULU yumo ndani yake maana ndiye anayeongoza Genge la kumdanganya mama ili aanguke waseme hawezi kazi!
Wafanyabiashara wa ndani wanatakiwa kusimamiwa kutumia mashine za EFD tu! mengine hayafai kuyafanya mbele ya jamii!
Wahuni wapinzani wa SAMIA ndani ya SERIKALI ndio wanafanya haya mambo!
Narudia tena huyu ni Mwigulu anautamani Urais anaona mama atamchelewesha!
Magufuli ali block bureau de change kuwakomoa wafanyabiashara wasibadili hela kuwa dola na kwenda kuzificha makwao lakini bado walimshinda mbinu! Sasa jiandaeni na anguko la mapato hamtasahau.
Mama amka usingizini! fukuza mkuu wa usalama wa Taifa utakuja kunishukuru baadae.
Tax clearance za miaka kumi ni mchongo.Marehemu hakuwa mjinga.Ni mfanyabiashara gani anayekwepa kodi unayemfahamu wewe? Watu wanapenda sana kuropoka. Ukimwuliza hajui chochote.
Kuna uhuni aliuanzisha marehemu. Aliyalazimisha mabenki kupeleka kwake majina ya watu wenye pesa nyingi bank. Akijisikia kumpora pesa mtu, wanamfungia account halafu ndiyo wanamwandikia kuwa apeleke uthibitisho wa kulipa kodi zote kwa miaka 10 iliyopita. Tena waliokuwa wakipelekewa barua, unakuta miaka yote ya huko nyuma walikuwa na tax clearance tayari. Ulikuwa ni uhuni, na kinyume cha sheria, lakini kwa sababu ulikuwa ni uongozi wa kidikteta, alifanya alivyotaka.
Huwezi kumdai mtu risiti za kulipa kodi miaka 10 iliyopita wakati tayari kwa miaka hiyo alikwishapata tax clearance.
Wajinga wanafikiri ni rahisi kukwepa kodi. Wanaoweza kukwepa kodi kiurahisi, labda wafanyabiashara wa maduka, lakini siyo wawekezaji wakubwa.
miaka 10 kodi! angeendelea hivyo uchumi ungekuwa down sahivTax clearance za miaka kumi ni mchongo.Marehemu hakuwa mjinga.
Ila kiukweli mama asipomuangalia huyu jini atamwangusha sana!Huu uhuni nina uhakika MWIGULU yumo ndani yake maana ndiye anayeongoza Genge la kumdanganya mama ili aanguke waseme hawezi kazi!
mwigulu kuhusika na vita ya mkiru kule akiwa waziri mambo ya ndani kunamfanya akose sifa za kuwa mtu katili sanaIla kiukweli mama asipomuangalia huyu jini atamwangusha sana!
Huyu mtu nia yake ni uaraisi 2025 japo anajua hawezi kabisa hata uwaziri wenyewe ni hovyo!
Hayo ni mambo ya kawaida sana huko duniani.
Tatizo watu hawapendi kulipa kodi hiyo inaeleweka.
Na ili kodi ya serikali ipatikane kila njia huwa zinatumika.
Tutajifunza taratibu.
Fuatilia IRS ya Marekani ambayo ni kama TRA hapa utaona namna wenzetu walivyo serious.Hatua za kisheria . Sio kila njia.
Kukwapua pesa za watu benki
kunaifanya serikali kuwa kama genge la Mafiosi.
Mkuu ukisikiliza vizuri hiyo video Diamond kaeleza vizuri Sana kwanza kalamika 700M imekwapuliwa kwenye account ya benki ikabidi aende TRA ili ajue kwanini wamechukua 700m bila kupewa taarifa yoyote ameenda kule wamempiga danadana mpaka akataja majina ya maofisa wa TRA aliyoonana nao bila majibu yoyote baada ya Hilo suala limeibuka Tena Hili la kufungiwa account zake na anachodai diamond huwa analipa kodi na Mara nyingi huwa anaongea na TRA na sometimes wanampa hadi ufafanuzi hadi number ya simu yake wanayo lakini anachohoji kwanini kwenye Hili wameshindwa kumpa ushirikiano na taarifa yoyote kama vile yeye ni mkimbiziHivi mpaka TRA wanafikia stage ya kufunga account ya mtu maana yake sio kwamba wameshayazungumza mpaka wakachoka?
Sitaki kuamini kama TRA wanaamua kuwa wababe tu kwa mtu bila sababu za msingi, hapa ni vile TRA wamesema kuna sheria iliyowazuia kufunguka kwa upande wao, inawezekana Diamond alilalamika ili kutafuta public sympathy tu.
Unalipaje kodi ambayo wakina Mwigulu wanaenda kuitumia kujinunulia ma V8 ya zero kilomita wakati huo huo kuna mtoto wa mkulima ambaye hana dawati la kukalia huko shuleni ?Tulipe Kodi kwa Maendeleo ya Taifa.
Wafanyabiashara wanakwepa sana Kodi.