Madhara ya TRA kufunga akaunti za benki za wafanyabiashara! Mnaomshauri Rais mnataka afeli ionekane Mwanamke hawezi kazi

Mama hakuweza kukemea tabia za kishetani wakati akiwa makamu wa rais na sasa hivi mama amekuwa rais kabisa lakini bado hawezi kuchukua hatua au hata kukemea tabia za kishetani kwenye serikali yake, ni wazi huyo mama anapenda tabia za kishetani.
Wenye tabia za kishetani wana nguvu na ushawishi mkubwa kumzidi huyo mzbr.
 

Ukiacha hayo mambo uliyoyaelezea ,wafanyabiashara wengi wanakwepa kodi ,kodi wanayolipa sio yenyewe ,magumashi mengi sana wanafanya kukwepa au kupunguza kodi ,mfanyabiashara anakuuzia vitu vya milioni kisha anaandika risiti ya elfu 50 au laki moja halafu anaweka tu vitu jumla tu vifaa vya ujenzi bila kuweka mchanganuo wa hivyo vifaa.
 
Tutunge Sheria na zifuatwe na zijulikane wazi wazi kwamba nini kinatakiwa kufanyika na kisipofanyika ni nini kifanyike...

Haya mambo ya kujiamulia wakati wowote hayana afya kwa Taifa..., haipaswi mtu kuonewa na wala kuonea..

Hili Suala Rais hapaswi kuwa na maamuzi (Sheria inabidi ndio iamue na sio mtu akipendezwa)
 
Ni wazi kabisa serikali imeshindwa kuzisimamia EFDs ila tu wanashindwa kukiri.

Mapato mengi yamekuwa yanapotea kutokana na usimamizi mbovu wa hizo mashine, na Sasa wanatafuta njia za mkato.

Pia hizo mashine ziligeuzwa kuwa mianya ya rushwa kwa maafisa wa TRA.
 
Sijui haya makitu yabafikiria nini kufanya huu uhuni
 
EFDs ni model nzuri but it should be for free, a strategy has never been a project by itself, unauza njia ya ukusanyaji na ufuatiliaji wa kodi
 
Akifanya MAZURI sifa zote kwake, mapungufu yakijitokeza, lawama wanapewa wengine.

Kwani kiongozi wetu ni MALAIKA hakosei???
 
Kumbuka Tupo awamu ya sita zingatia hilo
 
Huu ni usaliti wa CDM, hakyanan machadema yakamatwe!!
 
Sasa Mwigulu ndie Waziri wa fedha mwenye dhamana ya hayo yote ,yaani uharibu ukiwa Waziri wa Fedha then uje uutake Urais? Hii imekaaje?

Acha uzushi.Kuhusu Kodi naunga mkono pamoja na ushauri wako Ila lazima wanaokwepa Kodi wazikipe kwa namna yeyeote ikiwemo hiyo ya kuzuia account Hadi TRA ikubaliane na mhusika.
 
Tulipe Kodi kwa Maendeleo ya Taifa.

Wafanyabiashara wanakwepa sana Kodi.
Lakini kinachosababisha wakwepe Kodi Ni TRA na Serikali kushindwa kuwasimamia watoe Risiti.

Pili sheria iwe Kali zaidi kwa mnunuzi akinunua bidhaa bila Risiti, TRA waitaifishe na kupiga mnada ili ku recover Pesa Yao..
 
Lipeni kodi stahiki hachenikukwepa - fanya ujanja ujanja wa kukwepa kulipa kodi halafu mnaanza kujaribu kitafuta huruma kutoka kwa Madam President - kama vipi, basi wanaotaka/kwepa kulipa kodi stahiki wahamie mataifa ambayo haya tozi kodi au kodi ni ndogo.
 

Well said
 
Akifanya MAZURI sifa zote kwake, mapungufu yakijitokeza, lawama wanapewa wengine.

Kwani kiongozi wetu ni MALAIKA hakosei???
Huyu Rais amekuwa sanamu au picha tu ni bora na hizo sifa za mambo mazuri wapewe wanaostahiki tu ambao wakikosea hupata na lawama pia, mbona mtangulizi wake alibeba lawama na sifa kwa pamoja?
 
Mama anadanganywa na akina Mizengo Pinda na kundi lake
 
Watu walipe kodi hii kufukuzana fukuzana na vijitu vidogo vidogo huko mabarabarani haina tija kwa Taifa alituonyaga Mwalimu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…