Madhara ya TRA kufunga akaunti za benki za wafanyabiashara! Mnaomshauri Rais mnataka afeli ionekane Mwanamke hawezi kazi

Kuna njia nyingi za kuficha cash
Mkuu maeneo ya upanga kuna issue kama tatu za wafanyabiashara kuibiwa cash ila kuna mwamba alipiga milioni 800 mpaka nikashangaa mtu anawezaje kuwa na cash nyingi ndani kiasi hiki wakati mimi nikiwa na cash za laki tu ghetto sina amani naona kama kuna mtu ataniwai vile
 
Tulipe Kodi kwa Maendeleo ya Taifa.

Wafanyabiashara wanakwepa sana Kodi.
Tena ni hawa wenye majina na wanasiasa wana ukwasi wa kutisha, na hata biashara zao hazilingani na mapato yao. TRA hawakurupuki kama wengi wanavyodhani, ninavyojua kwanza wakina kuna kasoro kwenye kodi zako hukupigia simu ili ufike ofisini sasa wengi hawaendi na wnakuwa na kibri wanasahau EFD machine haziongopi,pia akaunti zao zote zinasomeka na mtoza ushuru, kwa hiyo huwa anjaua chochote kinachofanyika. Utasikia tunataka maendeleo lakini hao hao hawalipi kodi. Hii ya kukimbilia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ili uonewe huruma sidhani kama inasaidia. Ila yote haya tumeyataka wenyewe,enzi za unanijua mimi nani zimerudi. Wakwepa kodi wamerudi kwa kasi.
 

SUre Mkuu.
 
Happy New Year Y'All 2023 Tulipeni Kodi kwa maendeleo ya Taifa.
 
Domo mondi lipa kodi, acha kulia Lia. Ulidhani kucheza kwenye majukwaa ya CCM utasamehewa kulipa kodi? Acha ujinga
 
Fuatilia IRS ya Marekani ambayo ni kama TRA hapa utaona namna wenzetu walivyo serious.

Wanachukua pesa kwenye account za watu ,wanakamata mali na kuziuza.

Swala la kodi wenzetu wanalipa kipaumbele mno.
Marekani mahakama zipo na uhuru , hata hao maafisa wanajua red zone
Huku kwetu unafanyiwa uonevu na wanajua huna pa kwenda , ninkama vile watu wa bureau de change walibyofanyiwa walabaki mufilisi
 
Marekani mahakama zipo na uhuru , hata hao maafisa wanajua red zone
Huku kwetu unafanyiwa uonevu na wanajua huna pa kwenda , ninkama vile watu wa bureau de change walibyofanyiwa walabaki mufilisi
Irs haiendi mahakamani mkuu. Hayo ni mambo wanayoweza kufanya bila ridhaa ya mahakama.

Wewe sasa ukiwa aggrieved ndio unakwenda mahakamani.
 
Pumbavu sana...mnapenda kukwepa kodi....
Rais shika hapo hapo....
 
Mkuu, nadhan umeelezea kwa jazba! kwanini usitoe na mawazo mbadala juu ya kadhia hii!
Unadhani kumfukuza mkuu wa usalama wa taifa ndio njia bora ambayo itawafanya TRA kufanya kazi kwa uadilifu?
 
andiko langu hili mama kaliona nin! maana nlisema afukuze DIWANI huyo Usalama.huko! sasa tuhamie Baraza la mawaziri na RC, DC, RSO, DSO, RAS DAS, na na DED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…