Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Historia inasema soda aina ya Coca-Cola ilianza kutolewa kama dawa kwa wagonjwa longtime ago.
 
Hawa watu wanasikia tu story za vijiweni huko wanakuja kutujaza ujinga hapa, kitu kama hujafanyia utafiti usiropoke.. hakuna mtu amepata ugonjwa wowote sababu ya kunywa soda
 
Hawa watu wanasikia tu story za vijiweni huko wanakuja kutujaza ujinga hapa, kitu kama hujafanyia utafiti usiropoke.. hakuna mtu amepata ugonjwa wowote sababu ya kunywa soda

Wapo. Wengi Wao wamepata kisukari na wanajuta! Soda ina artificial sugar ambayo inawekwa nyingi na madhara yake kwa I nsulin yanatokea baadae
 
Habari mwana JF.

Leo nimekusogezea kipande cha video kinachoonesha madhara ya soda.


Moderation ndio jawabu.

Kila kitu kina madhara yake. Cha muhimu ni kuvitumia kwa kiasi tu (yaani moderation).

Pombe zozote zile zina athari mwilini, hasa pombe kali. Lakini utakuta dawa nyingi za kunywa zina pombe. Kama hufakamii pombe na unakunywa, mfano chupa moja kwa siku, basi hazina tabu.

Sukari ni kiungo kinachotumiwa sana na karibuni watu wote. Lakini ukila vitu vyenye sukari nyingi na kwa wingi vinaweza kukuua kwa madhara yake.

Nyama choma ni tamu sana lakini ukiila kwa wingi utapata gout.

Sigara au tumbaku ni kiburudisho kinachopendwa na wengi. Kila mtu sasa anajua uhusiano wa uvutaji sigara kwa wingi na ugonjwa wa saratani.

Mifano ipo mingi sana ya aina hii. Cha muhimu ni kuhakikisha unavitumia kwa nadra au kiwango cha chini.

Soda kama kola ni tamu. Ukinywa chupa moja kwa siku sidhani kama itakuletea madhara. Lakini kama wewe kila unaposikia kiu au kutaka tu kunywa kitu unakimbilia soda ya kola hapo utaathirika.
 
Wapo. Wengi Wao wamepata kisukari na wanajuta! Soda ina artificial sugar ambayo inawekwa nyingi na madhara yake kwa I nsulin yanatokea baadae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] boss sukari haisababishi kisukari hata siku moja hata ukila gunia na haitakuja kusababisha, kisukari kinasababishwa na kongosho kushindwa kutoa insulin ya kutosha au seli za mwili kushindwa kurespond kwa action ya insulin.. ndo maana nasema watu wanapiga kelele kwa story za vijiweni, na unaposema artificial sugar unamaanisha nini ? Kwani chai,uji,juice,maandazi unawekea natural sugar ? Ila siku nyingine usiseme mbele za watu eti sukari inaleta kisukari utaaibika.. usiunge unge vimaneno vya biology ya form one.
 
Back
Top Bottom