Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Nyie endeleeni tu kudanganyana sie twanywa... miaka yote tangu zimeanza kutengenezwa nani umewahi kusikia amekufa sababu ya soda ?
We jamaaa wewee! kunywa soda nitalipa! Myth na ushindani wa biashara unawatisha watu waache kunywa kasoda?
 
kuna uwezekano watu wengi hawaelewi maana ya neno sumu
 
Mwenyewe nakunywa coca kama kawa dunia nzima inanyweka na ina ISO, TBS, mpaka n.k leo mtu kambiwa na doctor uchwara wa bondeni kuwa sumu ata panadol haujui kuassemble, kunywa kistarabu chochote kikizidi kwenye mwili ni sumu ata dawa,chakula, pombe, eti soda sumu kuliko pombe kweli ? Kasome madini yanayopatikana kwenye mwili harafu soma ingridient ya kila ulacho kama soda, na kuendelea ndo utajua sio sumu, pia mwili unafanya detoxification kila siku
 
Mkisikiliza sana manano ya watu mtaishia kunywa maji tu.
 
Mkisikiliza sana manano ya watu mtaishia kunywa maji tu.

6189e44f6663596213cfb3f525406a7c.jpg
d98e32e2ff2ec3febdddf0fecdc9c6de.jpg
chaguo ni lako
 
Sajuki alikufa kwa ugonjwa wa ini.. na kuna sababu nyingi tu zinazoleta ugonjwa huo ikiwemo ugali wa udaga na karanga na wala si soda.. je wewe hutumii ugali wa mhogo au karanga ?
 
6189e44f6663596213cfb3f525406a7c.jpg
d98e32e2ff2ec3febdddf0fecdc9c6de.jpg
chaguo ni lako
Vyote vilivyoko hapa vitatengenezwa mwilini na vitu unavyokula kila siku hata usipokunywa soda..hivi soda zimeanza kutengenezwa mwaka juzi au ?mbona hizi habari hazikuwepo zamani ? nani kafanya research na kaandika ni kwa % ngapi soda ina madhara ? na ni madhara gani ? mbona mnaishia tu kuleta vipicha visivyoeleweka amabavyo hata mi naweza kutengeneza, mi nikikwambia ugali wa mhogo una madhara nakuwekea hapa na article kabisa watu wamefanya research, nyie mbona hamuweki mnazunguka tu, acheni siasa

Tuchukue mfano wako wa madhara kwenye meno.. study ya harvard university 2013 ilionyesha mtu anaweza kuharibikiwa meno endapo atakunywa kuanzia 2Ltrs za soda kila siku kwa miaka mi5... sasa kuna mtu anakunywa soda saba kila siku ? unaanzaje kupata hayo madhara ? mi nikijitahidi sana nakunywa 3 kwa wiki.
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada kidogo, mi naona watu tunakomaa na vitu ambavyo haviwezi kutudhuru, hamna mbongo anakunywa soda kwa amount kubwa mpaka ya kumletea madhara.. tufocus kwenye vitu ambavyo ni common kwetu tutoe mfano mdogo wa ugali wa mhogo.. ambao kwa mimi nakula kila siku ila kiukweli una madhara makubwa sana kwenye ini kuna study hii ilifanywa SUA
1507432051320.png
1507432056447.png
sasa unajibana kunywa soda hata kwenye sherehe eti ntaua figo na ini halafu unapiga udaga na karanga kila siku.. acheni hizo SODA OYEEEE !!
 
1507432494670.png
mwenye study inayosema soda moja kwa siku ina madhara aweke hapa
 
HAhahahahaha maisha haya bhana kila kitam sumu na nife bhna kwan tatizo nn nisipokunywa ndio ntaishi milele kwan
 
Back
Top Bottom