Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 626
- 409
Urongo mtupu! Tunyweni soda baridi wandugu,, hii ni vita ya kibiashara kati ya pombe na soda!
hahahahha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urongo mtupu! Tunyweni soda baridi wandugu,, hii ni vita ya kibiashara kati ya pombe na soda!
Hiyo hapo chini mkuuAsante kwa ujumbe, lkn ungeweka Source, ingependeza zaidi.
Tafiti hupingwa na tafiti mkuuAcheni uongo
Mtu anatengeneza chupa ngapi aweke vijiko kumi kwenye chupa moja!
Acheni uongo
Mtu anatengeneza chupa ngapi aweke vijiko kumi kwenye chupa moja!
HIVI UNATAMBUA KUWA BILA SUKARI MWILINI HUWEZI UKAISHI??Nimeamua sukari isipite kinywani Mwangu kwa miez 3.
Now naingia week la 4
sijatumia sukari na situmii chochote chenye sukari ya viwandani wala ya matunda..kwa miez mi 3..
Nimeamua hivyo
Sili chungwa,ndizi,tikiti,miwa n.k vyote vyenye sukari.
Swali
Nini madhara yake iwapo sukari ikipungua mwilini?
OkHIVI UNATAMBUA KUWA BILA SUKARI MWILINI HUWEZI UKAISHI??
UGALI WALI NA VYAKULA VINGINE HUMENG'ENYWA NA KUBADILISHWA KUWA SUKARI KWA AJILI YA KUUPA MWILI NGUVU KATIKA MIFUMO MBALIMBALI
Nimeamua sukari isipite kinywani Mwangu kwa miez 3.
Now naingia week la 4
sijatumia sukari na situmii chochote chenye sukari ya viwandani wala ya matunda..kwa miez mi 3..
Nimeamua hivyo
Sili chungwa,ndizi,tikiti,miwa n.k vyote vyenye sukari.
Swali
Nini madhara yake iwapo sukari ikipungua mwilini?
Naomba uniambie unachokula badala yake.
Naomba uniambie unachokula badala yake.
Yeah japo mimi sio mbobezi wa masuala ya afya hii kitu nilishawahi kusikiaOk
Kumbe basi ntaishi..
Ugali na wali na vingne vitageuzwa kuwa sjkari mwilini.
Correct me if wrong
Alichosema Joseverest ni sahihi, kwamba baadhi ya vyakula kama wali vikimeng'enywa huzalisha sukari. Lkn nna swali kwako kwa nn umeacha hata sukari kwenye matunda???Nimeamua sukari isipite kinywani Mwangu kwa miez 3.