1gb
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 2,199
- 2,859
Nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa sukari..Alichosema Joseverest ni sahihi, kwamba baadhi ya vyakula kama wali vikimeng'enywa huzalisha sukari. Lkn nna swali kwako kwa nn umeacha hata sukari kwenye matunda???
Kutokana na kazi yangu alafu mimi ni kapela(sina mke) ikafika kipindi soda ikawa ni kama ndo chakula changu..
Kwa kila week wastan ni soda 5
Ndani ya matumizi hayo nikawa najikuta wakat mwingine miguu inauma kama inawaka moto..
Nachoka bila sabb..
Jamaa akaniambia na yy alikuwa na shid hyo akagundua soda ndo zilikuwa sababu...manake yy alikuwa muuzaji wa vinywaji jumla na rejareja..yy ilikuwa akipata kiu anakunyw soda..akiwa na njaa anakunyw soda.
Style yake haikuw mbali sana na yangu..
Daaa hata hivyo nilivyowaza hatima ya kisukari nika compare na maisha ya jirani yangu anavyoteseka na sukari..!!!
Nikajihurumia mm mwenyewe nika azimia nisitumie chochote chenye sukari kwa muda usio zidi miez 3.
Sasa nakatibia kukata mwezi..
Mkuu ni hivyo tu.
Asubuhi napiga mihogo breakfast inapita murua kabisa.