Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Hiyo ndio faida ya kunywa soda anitafute mimi kwa pesa nyingi nipate kumtibu wakiambiwa waache kunywa soda hawataki sasa ngojea wapatwe na maradhi ya ajabu tupate pesa na tuwatibu.Kuna rafiki yangu mmoja mwuza mitumba anasema awali alikuwa anakunywa soda aina ya Sprite mara tatu kwa siku baada miezi mitatu alihisi haja ndogo mara kwa mara, viungo vinalegea. Alipopima akakutwa anakisukari ambayo sahivi ni mwaka wa 3 anapambana nayo kwa miti shamba lakini hakijapona. Mwili umeisha hadi nywele zimenyonyoka pia