Madhara ya Utawala wa Awamu ya Tano yameanza kulitafuna taifa; Nani wa kulaumiwa?

Jk alikuwa mwanasiasa mwenye mapungufu yake kama wengine ila Meko alikuwa mharifu wa kiwango cha lami, adi anakufa alishawai kukwambia trilioni 1.5 alizifanyia nini?
Yeye ndie alikuwa mlezi wa vijana mfano wa kina Hamza.
 
Rubbish,Mtatumika sana,ila Magufuli is a man of match
 
Wapumbavu siku zote husukumia matatizo kwa wengine!! Jifunze kukabili changamoto zako mwenyewe!! Kuzisukjmia kwa mwingine hakusaidii kitu!!
Kilicho dhahiri ni kwamba serikali ya awamu ya tano ilitufumbua macho kiasj ambacho hakuna awezaye kutufumba macho tena!! Hakuna wa kutuambia sisi ni maskini!! Hakuna wa kutuambia bila "msaada" wa mabeberu hatuwezi!! Hakuna wa kutuambia mambo ya chanjo ya corona wala nini!! akijaribu atakachoambulia ni aibu!!! Hakuna wa kututishia corona!! Hakuna cha corona wala baba yake corona!! Kilichopo ni upigaji tu na maandalizi ya new world order!!
 
2025 yatamtolea mfano mzuri kwenye kampeni zao!
 
Mkuu haujaandika vizuri. Unasema kwa mfano hizi tozo ni matunda ya awamu ya tano lakini haujaonesha ni kwa namna gani.
Unasema yule aliyeuwa polisi juzi ni matunda ya awamu ya tano lakini haujasema kilichomsukuma akafanya hivyo..
Kitu pekee ulichoeleweka ni wewe kuwa na uhasama na hayati jpm.
 
ivyo vyote ni mwendelezo aliye viasisi ni meko mwenyewe na genge lake la wahuni kama kina sabaya, inchi ilikuwa ya hovyo hovyo sana
Kinachoniumiza kichwa ni kwanini Vyombo husika vinavyohusu ulinzi na usalama wa taifa viliruhusu haya kuendelea?
 
Kama vile IGP anavyotupia matatizo kwa Hamza au sio?
 
Ukinisoma vizuri btn line utanielewa. Tozo na miamala ni matokeo ya sera mbovu za kiuchumi za awamu iliyopita. Serikali inafiliska hawana namna zaidi ya matozo. We are living Jiwe' s effect.

Mfano wa Hamza ni matokeo ya hawa Uvccm kutumika na kulelewa vibaya kipindi cha Jiwe. Ambapo walikuwa na uwezo wa kufanya lolote chochote na wasishtakiwe mahali popote.
 
Hii mada haihusu hata kidogo swala la korona. Corona kajadiliane na Gwajiporno
 
Hujaeleweka kabisa Mkuu,kila mtu anaonjaje joto la jiwe? Hebu kunywa maji baridi urudi kuandika tena!
Sabaya anaoja nini?? POLEPOLE JE, lini umemuona Palamagamba kabudi kwa mara ya mwisho?? unahisi mambo yako kama zamani?? Je umemsikia Alli Bashiru?? hii ndio kuonja joto la Jiwe.
 
Hata kina Mbowe pia!

Tunashukuru mama amekuja kulikamata hili gaidi kumbe limelelewa miaka yote likiwa gaidi
crimea bwana. Mbowe kakamatwa kwa sababu anapigania kisu cha ngariba a.k.a Katiba Mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…