Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Yani Lema, lisu na mbowe wachangie nusu ya bajeti?
Kama yule lema na lisu si wanalelewa tu kule?
Namaana hao wanaowalea lema na lisu ndiyo wanao ilea na serikali yako pia acha wivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani Lema, lisu na mbowe wachangie nusu ya bajeti?
Kama yule lema na lisu si wanalelewa tu kule?
Mimi na amini kama magufuli angekuwa raisi tusinge mpoteza Hamza kwa kuwa asinge kuwa na sababu za kuua askari, maana magufuli alikuwa ni Nuru ya matumaini tanzania
Huyo kichaa ndiyo aliye sifiwa na RAISI MKAPA KUWA NI ASKARI WAKE WA MWAMVULI NO 1 YAANI THE BESTmagufuli anatoka familia yenye historia ya vichaaa.... sio kwa sababu ya madawa ya kulevya au ndumba... ni kuzaliwa hivyo.
usalama wa taifa walishindwaje kumjua MTU mmoja tu, je watawezaje kuijua tz yoteee?
magufuli aliharibu sana inji hii.
wanasiasa waache kujenga chuki.Karibubi tujadili nini tufanye kama taifa.
Wasenge sana hawa wanataka kumpakaza kinyesi Chao kichafu magufuli ambaye ni tumaini pekee la watanzania wazarendo hadi sasa tunatumia LEGACY YAKE KAMA TUMAINI ALILO TUACHIAMaliza kutype kisha ukalipe kodi ya Jengo! Pumbavvv.... Mlizoea kumtupia lawama JPM sasa hakuna wa kumtupia lawama sio!? Kazi inaendelea! Hakuna miradi mipya,tozo kama zote,ufisadi,wizi,rushwa,ujambazi vimetamalaki! Na bado hapo... Kazi inaendelea! Mpaka mtubu na kuomba msamaha! SHAABASH!
Ukweli ni kwamba Hamza asinge kufa wala kuua askari kama magufuli angekuwa bado ni raisi baada ya magu kufa mafisadi madhulumati yameshika nchi ndiyo sababuYeye ndie alikuwa mlezi wa vijana mfano wa kina Hamza.
Hili ni muhimu wanasiasa wakijirekebisha tutakwensa vizuri. Rember Politics lead the worldwanasiasa waache kujenga chuki.
tena wajue kwamba wananchi hawawapendi kabisa kwa sababu wao hawapendani, wanadhulumiana tu. Ole wao wanaodhulumu.
kiujumla wananchi babo wanapendana tu sana. kiashiria kimojawaapo ni mdoa za mchanganyiko wa makabila, ni nyingi. Mijini makabila ni mengi na imani tofauti, vyama tofauti lakini tunaishi pamoja huku wanasiasa wakizozana tu.
Anyway hatujajua hasa Hamza alifanya nini lakini inadaiwa alidhulmiwa. Pia uwezo wake wa kutamba na bunduki mchana kweupe huku akiwa ni Mwanachama hai na kada wa CCM na matukio ya nyuma ya vijna hawa tunapata picha kuwa huko nyuma walilelewa vibayaUkweli ni kwamba Hamza asinge kufa wala kuua askari kama magufuli angekuwa bado ni raisi baada ya magu kufa mafisadi madhulumati yameshika nchi ndiyo sababu
Piga makofi tafadhari [emoji28][emoji122][emoji122]team wenge watapata tabu sanaRubbish,Mtatumika sana,ila Magufuli is a man of match
Huyo alikuwa askari namba moja wa mwamvuli wa mkapa nakukumbushaKinachoniumiza kichwa ni kwanini Vyombo husika vinavyohusu ulinzi na usalama wa taifa viliruhusu haya kuendelea?
Serikali ikilelewa inatoa rasilimali zetu! Yani win win situation!Namaana hao wanaowalea lema na lisu ndiyo wanao ilea na serikali yako pia acha wivu
Unge comment bila kutukana ungeonekana wa maana. Ila kwa kuwa huna cha kusema na huwezi kumtetea huyo unayemwita man of match unaishia matusi tuRubbish,Mtatumika sana,ila Magufuli is a man of match
Tatizo lenu mnasahau huu ukweliAnyway hatujajua hasa Hamza alifanya nini lakini inadaiwa alidhulmiwa. Pia uwezo wake wa kutamba na bunduki mchana kweupe huku akiwa ni Mwanachama hai na kada wa CCM na matukio ya nyuma ya vijna hawa tunapata picha kuwa huko nyuma walilelewa vibaya
Magaidi halisi Hamza kaisaidia Mahakama kujua definitionSasa mama yako kwanini asivitoe?
Hebu kalipe kodi haraka ukitoka hapo upite ukonga kumsabahi gaidi
Serikali ikilelewa inatoa rasilimali zetu! Yani win win situation!
Vipi kwa Lema na Lisu wao wakilelewa wanatoa nini?
Acheni kumsingizia mwenda zake? Nchi mharibu wenyewe kukaribisha mafisadi mmeanza mbwatambwataNdugu zanguni habari za asubuhi.
Ni shahiri dhahiri sasa tumeanza kuvuna tulichopanda.
Sio mkubwa wala mdogo. Mwenye cheo wala asiye na cheo, tajiri wala maskini sote tumeanza kuonja joto la Jiwe.
Hali ni tete. Sio polisi sio Raia. Sio mtuaji sio mteuliwa. Amani, Umoja, utulivu, heshima vimeanza kuteteleka.
Tatizo lilianzia Awamu ya tano. Ambapo utawala wa sheria, haki na kuzingatia misingi ya demokrasia, uwazi na usawa havikuzingatiwa kabisa.
Ni katika utawala wa awamu ya tano ndipo Tulishuhudia kwa kiwango kikubwa Mtanzania anayepigania haki au kuhamasisha umoja na maelewano alikuwa akipingwa na kupigwa hapa na pale. Dhulma ikawa kila mahali. Kwa matajiri na kwa Maskini.
Mimi binafsi naweza kuvilaum vyombo vyenye mamlaka na vilikuwa na uwezo wa kukinga yasitokee
Kwa mfano. Vyombo vya dola Polisi, Mahakama, Usalama na jeshi la nchi viliwezaje kuruhusu watu kuvunjiwa haki zao kwa maslahi ya wanasiasa wachache??
Kwa mfano umtufikirie kesi 147 zilizosemwa na Rais pamoja na Boss qa Takukuru kuwa zilibambikiwa na kusababisha uhasama mkubwa miongoni mwa jamii, kati ya jamii na polisi na hatimaye na serikali yao.
Mfano wa pili ni tukio baya kabisa kuwa kutoke ktk mfumo wa siasa zetu ambapo mwaka 2020 oktoba Uchaguzi ulivurugwa kuanzia mchakato wa utungwaji wa sheria ya uchaguzi na vyama vya siasa na hatimae mchakato wenyewe wa uchaguzi na hata upitishwaji wa wagombea. Najiuliza hili lilifanyika kwa faida ya nani? Usalama wetu tunaouamini kwa maslahi ya nchi hawa kuanticipate madhara ya matukio yale? Polisi je? vipi Mahakama?
Sasa tunaona madhara yake Tozo, maiamala, uhaba wa ajira, uchumi mbovu na sasa hali mbaya ya mufukoni mwa watu.
Tumeanza kuona watu wakipromote uhasama dhidi ya serikali yao. Tukio la Mauwaji ya juzi pale Salenda ni la kusikitisha. Tena likidaiwa kutekelezwa na Mtu anayedaiwa kuqa ni Kada wa chama cha mapinduzi. Hawa vijana wa Chama cha mapinduzi bila kumung'unya maneno walilelewa na kudekezwa vibaya chini ya mwamvuli wa MATAGA. Hili ni kundi kubwa lililokuwa linahisiwa kufanya uhalifu sehemu mbali mbali za nchi. Ilikuwa si ajabu Kutishiwa na vijana hawa kuwa watakupoteza au wanakwambia kabisa tutakubinya ukose mahali pa kwenda na hwakufanywa chochote na mtu yeyote. Sasa Chatu anamla aliyemfuga.
Sasa nini tufanye.
Tuepuke migogoro inayokwepeka. Mahakama zitende haki, Polisi watende haki. Wadhibiti uhalidu kweli kweli. Usalama wafanye kazi yao kweli kwelikweli. Wenye mamlaka tunawakumbusha tu kuwa Hali ikiwa mbaya nchi hii na wao hawataishi kwa amani.
Tumeona wale tuliowaita mabeberu sasa wanafungasha vilago. Matishio ya ugaidi kwa mujibu qa IGP sasa yameibuka tena.
Haya ni madhara ya utawala usiozingatia sheria, katiba na haki za binadamu.
Asalaam Ale ykum
Kwani hamza ni gaidi au aliporwa hela zake?Magaidi halisi Hamza kaisaidia Mahakama kujua definition
Sasa watatoa kitu gani kingine?unauhakika gani kama inaishia kutoa rasilimali tu