Madhara ya Utawala wa Awamu ya Tano yameanza kulitafuna taifa; Nani wa kulaumiwa?

Madhara ya Utawala wa Awamu ya Tano yameanza kulitafuna taifa; Nani wa kulaumiwa?

Sasa si ukitaje wewe unaejua?

Mimi najua wanatoa rasimali,

Ila kwa Lema na lisu sijui wanatoa kitu gani
we crimea si ndio umekaa miezi mitatu ukiwa kimya unatumia ID nyingine?? Umerudi baada ya kuona magaidi wenzako wanafanya mauwaji
 
Ukiangalia mambo kwa juu-juu bila kufanya tafakuri za kina unaweza kujidanganya na kuamini kwamba matatizo yote ya Tanzania yaliletwa na Raisi Magufuli. Huu ndiyo mtego ambao umewanasa wasomi wengi wa kitanzania.

Akili nyingi za kutambua mambo tunazo, lakini uwezo wa kufanya tafakuri za kina, uwezo wa kuyaangalia mambo kwa upana na kufanya maamuzi sahihi hatuna. Nadhani haya ni madhara makubwa ya kuamini kwamba siasa ndiyo mwarobaini wa kila tatizo nchini.

Tanzania ni taifa changa mno, nchi hii ina miaka 60. Katika sayansi ya jamii tokea tupate uhuru kumekuwa na vizazi vitatu tu: Changamoto za kiutawala zimeanza kuwepo nchini hapa tokea awamu ya kwanza. Fuatilia vizuri utathibitisha hili ninalokuambia.

Bahati mbaya sana, hizo changamoto hazikutatuliwa bali zikarithiwa na awamu zilizofuata hadi kufika awamu ya tano. Matatizo yalijaa chungu nzima mwishoni yakajamwagika kipindi cha Raisi Magufuli na ikaonekana yote kasababisha yeye.

Ndiyo, aina ya uongozi wa Raisi Magufuli imeliingiza taifa kwenye korongo kubwa sana lakini tukifanya uchambuzi bila kuleta hisia (Sensationalism) tutafahamu kwamba hapa Tanzania kulikuwa na changamoto nyingi ambazo mfumo ulizilea, kuzifunika na kuzifumbia macho.

Mwishoni zile changamoto zikazoeleka na kugeuka UTAMADUNI ambao ukawa ni sehemu kabisa ya utawala (Haya ni makosa). Kama tulivyorithi amani, utulivu, uungwana na kuchukuliana: Vivyo hivyo tulirithi matatizo lukuki na kuyafumbia macho tukiamini kwamba kuyazungumzia au hata kuyataja tu ni kufuru (Blasphemy & Abomination).

Sasa leo The Chicken Came Home to Roost tunaanza kutafuta mchawi: Wasomi wengi kama wewe wanaamini awamu ya tano ndiyo mchawi, WELL AND GOOD. Ila nachokisema ni kwamba There's More to Tanzania's Problem Than What Meets the Eye.

I always wonder, How did we even get to this point in history,...
And where do we go from here....
 
MALCOM LUMUMBA asante kwa maelezo yako mazuri. Kinachosikitisha ni kuwa pamoja na kwamba Hayati Magufuli aliyakuta matatizo mengi lakini tunaona nia na madhumuninya kuyapunguza au kupambana nayo ilikuwa ndogo au haikuwepo kabisa. Mwisho wa siku yanaendelea siku hadi siku.
 
Ndugu zanguni habari za asubuhi.

Ni shahiri dhahiri sasa tumeanza kuvuna tulichopanda.

Sio mkubwa wala mdogo. Mwenye cheo wala asiye na cheo, tajiri wala maskini sote tumeanza kuonja joto la Jiwe.

Hali ni tete. Sio polisi sio Raia. Sio mtuaji sio mteuliwa. Amani, Umoja, utulivu, heshima vimeanza kuteteleka.

Tatizo lilianzia Awamu ya tano. Ambapo utawala wa sheria, haki na kuzingatia misingi ya demokrasia, uwazi na usawa havikuzingatiwa kabisa.

Ni katika utawala wa awamu ya tano ndipo Tulishuhudia kwa kiwango kikubwa Mtanzania anayepigania haki au kuhamasisha umoja na maelewano alikuwa akipingwa na kupigwa hapa na pale. Dhulma ikawa kila mahali. Kwa matajiri na kwa Maskini.

Mimi binafsi naweza kuvilaum vyombo vyenye mamlaka na vilikuwa na uwezo wa kukinga yasitokee

Kwa mfano. Vyombo vya dola Polisi, Mahakama, Usalama na jeshi la nchi viliwezaje kuruhusu watu kuvunjiwa haki zao kwa maslahi ya wanasiasa wachache??

Kwa mfano umtufikirie kesi 147 zilizosemwa na Rais pamoja na Boss qa Takukuru kuwa zilibambikiwa na kusababisha uhasama mkubwa miongoni mwa jamii, kati ya jamii na polisi na hatimaye na serikali yao.

Mfano wa pili ni tukio baya kabisa kuwa kutoke ktk mfumo wa siasa zetu ambapo mwaka 2020 oktoba Uchaguzi ulivurugwa kuanzia mchakato wa utungwaji wa sheria ya uchaguzi na vyama vya siasa na hatimae mchakato wenyewe wa uchaguzi na hata upitishwaji wa wagombea. Najiuliza hili lilifanyika kwa faida ya nani? Usalama wetu tunaouamini kwa maslahi ya nchi hawa kuanticipate madhara ya matukio yale? Polisi je? vipi Mahakama?

Sasa tunaona madhara yake Tozo, maiamala, uhaba wa ajira, uchumi mbovu na sasa hali mbaya ya mufukoni mwa watu.

Tumeanza kuona watu wakipromote uhasama dhidi ya serikali yao. Tukio la Mauwaji ya juzi pale Salenda ni la kusikitisha. Tena likidaiwa kutekelezwa na Mtu anayedaiwa kuqa ni Kada wa chama cha mapinduzi. Hawa vijana wa Chama cha mapinduzi bila kumung'unya maneno walilelewa na kudekezwa vibaya chini ya mwamvuli wa MATAGA. Hili ni kundi kubwa lililokuwa linahisiwa kufanya uhalifu sehemu mbali mbali za nchi. Ilikuwa si ajabu Kutishiwa na vijana hawa kuwa watakupoteza au wanakwambia kabisa tutakubinya ukose mahali pa kwenda na hwakufanywa chochote na mtu yeyote. Sasa Chatu anamla aliyemfuga.

Sasa nini tufanye.

Tuepuke migogoro inayokwepeka. Mahakama zitende haki, Polisi watende haki. Wadhibiti uhalidu kweli kweli. Usalama wafanye kazi yao kweli kwelikweli. Wenye mamlaka tunawakumbusha tu kuwa Hali ikiwa mbaya nchi hii na wao hawataishi kwa amani.

Tumeona wale tuliowaita mabeberu sasa wanafungasha vilago. Matishio ya ugaidi kwa mujibu qa IGP sasa yameibuka tena.

Haya ni madhara ya utawala usiozingatia sheria, katiba na haki za binadamu.

Asalaam Ale ykum
Ila Mungu uyu achwe aitwe Mungu, yani sijui mwendazake Angekuepo mpaka mda huu, ingekuaje, NA wa Sasa ametegeka akakubali endesha gari kwenye NJIA ileile ya mwendazake ,

Swali nani katufikisha hapa, ?

Jibu

1. Ni tume ya uchaguzi ambayo ipo pale tokana na kitiba ambayo haiendani na nyakati tulizo nazo

2. Watu kudhamin matumbo yao, familia zao kuliko Taifa

3. Watu kupenda madaraka kuliko taifa, na kujiona tz ni ya CCM

4 , JMK aliekua Rais weka mbele Maslahi ya chama chake Cha Ccm , kuliko taifa ambalo alilitumikia miaka 10 , na juzi anakimbilia Zambia, leta suluhu, atutake radhi KIKWETE watanzania
 
Dhambi zinatafuna. Ila Kifo cha JPm ni cha maajabu sana. No body could expect that.
 
Ukiamua kulaumu awamu iliyopita lazima ulaumu kuanzia ya nyuma yake maana ndio iliunda awamu nyingine.

Kama huwezi kulaumu awamu zote endelea kulia tu, hakuna namma.

Mama ameshindwa kuyanyosha?
Hao watu ni wanafiki sana , kipindi cha jk wao waliona haki ikitendeka sijui sijui mwangosi aliuwawa kipindi gani sijui Josephine mashimbusi na dr. Slaa walipigwa virungu wakati gan kule arusha
 
Watu mmeyakosa matarajio yenu kwa huyu Mama mliyekuwa mnampamba na bado hamuamini.

Kuendelea kujificha kwenye kichaka cha awamu ya tano kwa kila tukio la sasa ni uduanzi.

Unalikumbuka tukio la Stakishari na chimbuko la mauaji ya "halaiki" kule MKIRU?

Awamu ya Tano imeikuta MKIRU ya moto na hatujawahi kusikia mkiilalamikia awamu ya nne kwa hilo.
 
Hao watu ni wanafiki sana , kipindi cha jk wao waliona haki ikitendeka sijui sijui mwangosi aliuwawa kipindi gani sijui Josephine mashimbusi na dr. Slaa walipigwa virungu wakati gan kule arusha
Kweli hakuna binadamu aliekamilika, ila mwendazake alizidisha kiwango cha kawaida Cha ubinadam, hakuna unafiki hapa
 
magufuli anatoka familia yenye historia ya vichaaa.... sio kwa sababu ya madawa ya kulevya au ndumba... ni kuzaliwa hivyo.

usalama wa taifa walishindwaje kumjua MTU mmoja tu, je watawezaje kuijua tz yoteee?

magufuli aliharibu sana inji hii.
Wewe sio kichaa?
 
Back
Top Bottom