Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

Mkuu kama wewe ni kijana wa umri kati miaka thelathini mpaka arobaini na tano nakushauri ukamwone daktari ili akupe ushauri wa jinsi ya kuhakikisha kuwa unakuwa na nguvu za kiume muda wote
 
Kama zinakupa madhara hayo achana nazo..
 
Kuna topic humu inaelezea madhara ya redbull na wewe katavi ulicomment ukasema kweli ni hatari. Mara hii ushasahau!!
 
Kama una wasiwasi nazo lete kwangu nkusaidie kupunguza madhara!!
 
aisee hio kitu ukipiga na vodka siku inakuwa nzuri kinoma
 
Huyo jirani hakupendi kama anajua vina madhara na yeye hatumii ameona wewe ndo wa kufa na hayo madhara??selfish neighbour indeed....

Kuhusu madhara nishasikia mara kibao. tusubiri wataalam waje watueleze kiundani

Unless huyo jamaa hakuku-Invisible "AT YOUR OWN RISK" otherwise hiyo haitakuwa excuse, wangapi wanajua kuwa sigara ina madhara na still wanaendelea kutumia?
 
Kuna topic humu inaelezea madhara ya redbull na wewe katavi ulicomment ukasema kweli ni hatari. Mara hii ushasahau!!

Sikumbuki vizuri, ila nimejitahidi kui-search sijaipata. Huenda huku kusahau ni moja ya madhara ya redbull.....
 
mkuu katavi madaktari wapo wa aina nyingi mfano lyatonga mrema na mama lwakatare nao wanajiita kuwa ni madaktari

hahahhah!! Kweli kabisa huenda ni daktari kama Lyatonga Mrema.
 
Mkuu kama wewe ni kijana wa umri kati miaka thelathini mpaka arobaini na tano nakushauri ukamwone daktari ili akupe ushauri wa jinsi ya kuhakikisha kuwa unakuwa na nguvu za kiume muda wote

mkuu sio kwamba nina tatizo hilo.....isipokua kwa muda niliozinywa mara nyingi madhara yake kwangu ndo kama hayo...kuna wengine wakinywa wanajisiki kichefuchefu.... lakini kwa saizi nimeziacha kabisa kwa kuogopa huenda badae zikaniletea madhara makubwa zaidi...
 
Nimekuelewa mkuu achana na red bull ili uweze linda heshima yako
 
Sikumbuki vizuri, ila nimejitahidi kui-search sijaipata. Huenda huku kusahau ni moja ya madhara ya redbull.....

"usinywe redbull ni hatari kwa afya yako". Tittle ya thread ipo hivyo.
 
Haina ubaya ila usinywe zaidi ya moja kwa Siku, haina shida yeyote.

Tena zimeandikwa not allowed for children,mimi nilishakunywa mbili niliweza kuona dosari za kuta an silin bord ya chumba nilichokua nimepanga
 
Mkuu utakuwa na tatizo la Homoni. Na ukiwa na hormone imbalance afu ukachanganya na caffeine kwa wingi hilo tatizo la nguvu za kiume ni dhahiri. Lakini pia Redbull zinachangia sana ongezeko la uzito ambalo linakuwa linachangia sana tatizo la nguvu za kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…