Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Huko Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara, Mwalimu amefungwa kwa kula hela ya ujenzi wa madarasa ya shule yake.
Haya ndiyo matokeo ya sra zisizo na mashko katika ujenzi.
Badala ya fedha hizo kuonekana kama mtaji wa ujenzi, watu wanageuza kuwa fedha za kula.
Hili limetokea sehemu nyingi sana nchini maDED, wahandisi na waganga wa Mioa na Wilaya, fedha imetafunwa sana.
Hizi sera za Force Account zisizo na mipaka au kutengenezewa sera inayoeleweka zilikuwa za kiongozi wetu mpendwa, Rais wa wanyonge.