Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tatizo ni mfumo mbovu wa nchiWatu wanaibaga kupitia hayo masheria unayoyasema,na kufanya miradi kuchukua muda mrefu kukamilika au kutokamilika kabisa...hii nchi kila kitu hakifai dah
Hao unaosema wamesomea si ndio hawa wanaotumbuliwa kila leo kama si utendaji mbovu wa chini ya kiwango basi kwa wizi...
Mimi naona ngoja twende hivi kwanza ili tuje kupima baadae...
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app