Madhila ya Force Account: Mwalimu afungwa kwa kula pesa ya ujenzi

Mkuu mbona una kichwa kizito!
Soma press cutting, mimi si hakimu aliyemfunga mwalimu.
 
SI wame
Kwa hiyo unamaanisha hawakujua kuwa hiyo pesa sio yao na wakila watafanya makosa?
 
Wamemtoa kafara pia hakuwa na wakili mzuri wa kumtetea
 
Watu wanafikiri eti hela inatumwa kwenye ac ya shule, basi mkuu wa shule anatumia tu!!!! hadi mkaguzi atakapokuja kukagua!!!! Hawajui hata ukijenga jengo la million 100 Kama hukutumia tenda pesa zooote utaambiwa umekulaa, ukiuliza Hilo jengo limetumia sh ngapi? Watakwambia hawalioni!!!

Kama huna risiti za EFD wewe pesa zooote umekulaa!!!
 
Siyo mimi nimemfunga, nimeonyesha jinsi maamuzi mabaya yasiyofikiria sera za manunuzi kwa fedha za umma na madhara yake.
Wanafungwa watu kwa kupewa fedha wasizojua kuzitumia kama ipasavyo kwa kazi za serikali.
Force Account ipo katika sheria za manunuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…