MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #41
Huu sio ukweli wote Ndugu yangu. Watu weupe sio Ndugu zako. Ni watundu sana.Kuna madini na baadhi ya vitu havipatikani ardhini ila vinazalishwa maabara! Mfano wake ni hiyo Californium. No wonder inazalishwa hizo nchi mbili za Urusi na Marekani maana ndio waliohodhi hizo teknolojia za Kinyuklia