Madini aina ya Calfornium 1 gram = 27m USD

Lazima ifike mahala tukubali yakua sisi Afrika ni Matajiri sana.
 
Mkuu ulisikia ila hukuelewa, mafuta ilionekana dalili za uwepo wake ila hakujapatikana deposite ya kutosha mpaka kuanza uchimbaji. Inabidi mpaka wanaanza uchimbaji wana uhakika mafta yaliyopo ni mengi kulipa gharama za mitambo na utafiti na kila kitu otherwise kama kuna mafuta ila hayawezi kucover hizo gharama na faida basi yataendelea kubaki.
Turudi kwenye topic ya hayo madini, ndiyo sikuwahi kuyasikia nimeyasikia leo ila baada ya kuyasikia nimetafuta source mbalimbali on web nikasoma na ndivyo tunafanya kila siku. Ndio maana siku hizi unaweza kuwa mwalimu wa english ila unazungumzia teknolojia za smartphones kumbe unajihabarisha tu.
 
Lazima ifike mahala tukubali yakua sisi Afrika ni Matajiri sana.
Sisi afrika ni matajiri sana nakubali ila uongo haujustify utajiro wetu. Na pia sikatai kuwa wazungu wanatuibia sana na kufanya mambo mengo hapa afrika ila story za kutunga ndizo sikubali. Story yako huenda ina ukweli ila shida imekuja kwenye hayo madini. Nigeria wameichezea sana kuna ile scandal ya kampuni nadhani ya Gapco kuingia mkataba nigeria ikawa inachukua mafta na kuwahonga wanasiasa akaharibu mazingira na wanachi kuwalipa mishahara michache na walipoandamana jeshi likatumwa na kuwaua
 
Ndugu zangu kuna baadhi ya mambo ,....huwezi kuyaona google in a positive way.....google KILA kukicha wako busy kuedit taarifa na kuweka vitu tofauti. Na vingine kuviondoa kabisa.

Mfano: Madini kama haya huwezi kamwe kuyakuta google

fungua hiyo youtube .
Inaonekana kabisa huyo Al mustafa anapotosha habari za Boko haram ili kuusafisha uislam.

This is not a new strategy. Hata 9/11 kwenye vijiwe vya kashata walisema Osama katumwa na CIA wenyewe kujilipua wamarekani wenyewe.
 
Anha! Vipi na kuhusu Helium? Maana hii ilitrend sana hapa Tz but outside ilitangazwa kwà kejeli na wala hawakuitilia maanani sana. Au na sisi pia tuliipotezea?
 
fungua hiyo youtube .
Inaonekana kabisa huyo Al mustafa anapotosha habari za Boko haram ili kuusafisha uislam.

This is not a new strategy. Hata 9/11 kwenye vijiwe vya kashata walisema Osama katumwa na CIA wenyewe kujilipua wamarekani wenyewe.
Refer Hayati Ghadaf & Sadam Hussein


Watu weupe ni wapuuzi sana. Ndio wanaotufanya tusijikubali sisi kama Waafrika.
 
Anha! Vipi na kuhusu Helium? Maana hii ilitrend sana hapa Tz but outside ilitangazwa kwà kejeli na wala hawakuitilia maanani sana. Au na sisi pia tuliipotezea?
Hiyo siwezi kuisemea mkuu huenda washaanza ibeba kama gas yetu maana afrika ina resources nyingi lakini viongozi wake wanaziuza kwa kubewaa v8 na vimilion mia kadhaa. Waarab wamefanikiwa sana kwa resource yao ya mafta. Kuna siku natazama documentary fulani kwamba canada ina mafuta mengi ila serikali haipati pesa nyingi kwasababu wanayoyachimba na makampuni binafsi compared na saudi arabia
 
Sasa kwanini unashindwa kuamini hizi source kubwakubwa sio salama kwà KILA kitu?


Je umeyasikia ya Billgate kuhusu huduma yake ya kutokomeza Malaria AFRICA?

Je umesikia kuhusu hizi MBEGU za kilimo za kisasa ambazo Bashe anazipayukia pasipo kujua undani wake? Anyways....

Ni vyema ikafika mahala tukafikiria sisi kama sisi....na sio kufikirishwa na hizo medias za huko nje.
 
Google sio anayeweka habari bali google ni search engine ya habari ambazo hata wewe unaweza kuweka na bots zako zikaja na kuscraw kwenye source yako.
Na hayo uliyotaja ya bilgates bado ukisearch Google itakuletea results.
The difference between Google na hizi AI bots kama chatgpt, yenyewe inakuletea links za source ukasome mwenyewe na maamuzi utafanya mwenyewe unlike hizi bots inakupa habari yenyewe bila source japo bard inakupa source.
Mkui wewe source yako ni ipi lazima uwe na source.
Hata habari mimi naweza nisiwe naamini labda habari za cnn linapokuja suala la israel na palestina nikawa labda naamini aljazeera au gravitas au other channels.
Hulali ukaota lazima uwe na source na wewe ndio nakuuliza source yako ni ipi
 
Lazima ifike mahala tukubali yakua sisi Afrika ni Matajiri sana.
Ila ni masikini kiuhalisia,hatuna huduma bora za afya,hatuna infrastructure nzuri,hatuna mifumo bora ya elimu,na yote ni sababu ya umasikini wetu, ok hebu muite Samia suluhu pembeni umtonye kuhusu huo utajiri uliouona wewe ili usaidie kulikwamua taifa kutoka kwenye lindi hili la umasikini,huu ujuha wa kuimba "sisi ni matajiri" huku suruali umebandikq viraka matakoni ni ukichaa.
 
Hata ukimuita pembeni ni Sawa na Kazi bure.

Uongozi ni Wito.


Tangu Taifa letu lipate uhuru, Viongozi ninaowajua Mimi ni wawili tu...

1. John Magufuli
2. Julius Nyerere


Na hawa wote walikua assassinated.
 
Hata ukimuita pembeni ni Sawa na Kazi bure.

Uongozi ni Wito.


Tangu Taifa letu lipate uhuru, Viongozi ninaowajua Mimi ni wawili tu...

1. John Magufuli
2. Julius Nyerere


Na hawa wote walikua assassinated.
Nyerere kaumwa kafariki akiwa hata hayupo madarakani na influence yake ikiwa ishafifia akiwa na miaka 77. Hizi conspiracy theories za kuwa assasinated unazitoa wapi? Hata huyo JPM alikuwa na tatizo la moyo la miaka mingi akiishi na pace maker ( kitu cha kawaida hata Sir Alex Ferguson anayo) . Ukijumlisha wakati wa corona aliofariki watu wengi wenye matatizo km yake walikuwa vulnerable sijui unatoa wapi hizi habari za assassination! Hebu tuanze kwanza unaelewa maana ya neno assassination?
 
*****, jamaa wamekula Chuma.
Kama umeishawahi kufika Goma kuelekea Kisangani.....hapo katikati kuna mapori mengi sana.

Nikiwa ndani ya fuso...yule shofeli yaani dereva ...alikua akinieleza ya kwamba.....kuna wageni kutoka Nchi tofauti tofauti za nje....wanaingia kwenye yale mapori ( Katikati ) na kuanza kufanya yao. Wengine wanafikia kujenga mpaka small airports.

Wengine wanajifanya wakulima wa Vanilla huku behind the scenes wakichimba madini....
 

Duuuh
 
Kwa hii bei haya madini kuyapata ni sawa na mtu afe hafu afufuke.
Ndio maana hapa TZ yapo, na huenda wabongo wanaambiwa hayo ni mawe tu ya kung'ara na hayana thamani yeyote.


Nakumbuka kuna kipindi nilikua nafanya Kazi Laboratory ( SGS ) ...Kakola mining....

Kwà mara ya KWANZA nilikua nashangaa kuona mawe yanang'aa kama dhahabu.....pia eneo lile lilikua limejaa mchanga unawakawaka kama Almasi....nikawa nawauliza wenzangu....hiyo ndo dhahabu? Wakaniambia hayo ni mawe tu na hayana deal lolote!!! Nikawa nashangaa sana.
 
Ni kuuliwa secretly. ( The killer or murderer should be anonymous )
 
Nyerere kauliwa via food , vivyo hivyo Magu via drink/food
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…