MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #61
Lazima ifike mahala tukubali yakua sisi Afrika ni Matajiri sana.Nakuelewa ila katika hizo harakati za African spirit kuna matango pori mengi. Badala ya kupambana na adui yetu halisi, kuna matango ya kulishana uongo wa mambo mengi. Mfano kwamba hayo madini kuchimwa hapo na Google kutosema ukweli kuhusu hayo madini kuwa yanachimba ikadanganya kuwa yanatengenezwa maabara tu.