Madini aina ya Calfornium 1 gram = 27m USD



Hayo madini hayapatikani naturally kama inavyopatikana dhahabu nk, yenyewe hutengenezwa katika maabara (synthesized) na kutengeneza 1gm ndio inagharimu tatriban $27million.

Nchi ambazo hutengeneza hayo madini ni US na Russia, mimi nashangaa unaposema eti yanapatikana naturally huko Nigeria mbaya zaidi unahusisha na chanzo cha Boko haramu !!.

Tafuta uongo mwingine.
 
You can't be serious 😂
mkuu acha masihara mimi nina mawe kama hayo nimeweka tu nyumbani huko napenda kuyashangaa nikiwa huko, nipe ramani ya soko basi nivute rolls royce kama ya mtoto kutoka tandale sheikh mansour!
 

Sikutaka kuamini hizi propaganda,zaidi alipoleta habari za bokoharamu,wajinga tu ndio watakao amini hizo story zake.
 
Kwa hiyo unamaanisha hayo Madi Ni expensive kuliko Mercury? You can't be serious.
 
Ila tuamini chako?
 
hapo naona cost of producing ndio hiyo 27m/g pengine hiyo inahusu gharama zote na processing[emoji848]
Kwa gharama kama hizo, sio tofauti sana na zile hoja za kupeleka makanika Ulaya au kwingineko for processing! Kwamba hatuna uwezo na mtaji wa kufanya hivyo....na isitoshe, kuwa hatuna miundombinu na karakana za kufanya extraction(in case ya dhahabu) similary na extraction ya hiyo canini sijui.
Hatahivyo, ina maana madini hayo yanapatikana kwa wingi......najiuliza tu hata kama gramu moja ina kosti hayo mamilioni......je, ni shilingi ngapi kuuzwa? au hiyo gramu moja inaweza kuleta faida ya Kiasi gani....hata kama inachukua muda?

Anyways......Bandari yetu ndio madini yetu kwa sasa, niwaachie wanaijeria wapambane, kwa sasa.
 
Californium haichimbwi bali inatengenezwa hukohuko majuu!
ACHA KUTUDANGANYA MCHANA KWEUPE!
 
hahaha boss ya bandari tutayaweza kweli? hawa wakubwa wakiamua lao tunachoweza kuambulia ni kujifurahisha tu humu sebleni kwa Melo mwisho ni kuimba mapambio tu.
#myTanzania[emoji848]
 
hahaha boss ya bandari tutayaweza kweli? hawa wakubwa wakiamua lao tunachoweza kuambulia ni kujifurahisha tu humu sebleni kwa Melo mwisho ni kuimba mapambio tu.
#myTanzania[emoji848]
Ha ha. Unafikiri isengekuwa kelele hizi kama unavydhania ni "za chura" tungesikia teuzi?
Wanajua tunayaweza, unafikiri hayo majina ya vyeo vyao vitatoka wapi? hiyo mishahara yao itatoka wapi?.... Wanajua na wao mwakani watakuwa humu wakiimba mapambio kana sisi leo tu na hakuna kitu watatufanya....kutesa kwa zamu yakhe!
Hatahivyo inatuongezea dau, badala ya kofia na tisheti labda watatugawia hisa Bandarini😂😂😂😂😁 Matumaini mbele!
Melo mwenyewe naye yumo mumu humu au unafikiri atakula wapi kama sio hizi kelele😁
 
Hayati Magufuli alikua mkali sana mpaka akaamua kuzuia yale makontena ya michanga....Unajua kwanini?


Cause that man's brain was extraordinary!
Ni sawa, kila kwenye Mwamba mpiganaji lazima pia ulaji uwepo.

Alifanikiwa kwa kiasi chake je tuliambulia nini?

Kupambana na hizi nchi za Dunia ya kwanza hakuhitaji mabavu ni akili.

Watu wanapewa pesa nyingi sana lakini wanaishi kuzitunza majumbani na nje ya Nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…