Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Picha lina anaanza.
Wenzetu weupe wanaingia Barani Afrika, nchini NIGERIA katika jimbo liitwalo BORNO (Borno State) na kugundua madini aina ya Calfornium.
Kisha wanaamua kununua eneo kubwa sana huku wakifungua huduma za kijamii kama mashule na mahospital. Then wanaanza kutoa huduma bure kwà watoto wanaoanza shule na kwà wazee matibabu yanakua ni bure kabisa.
Kwenye upande wa mawasiliano:- jamaa wakawa hawatumii simu zenye chip , bali wakawa wanatumia simu ambazo zipo connected directly kwenye satellite + radio calls. Walipendelea sana kufanya kazi zao usiku huku mchana wakiwa busy kutoa huduma za kijamii.
Mara ghafla , wakastukiwa na baadhi ya watu weusi magenius..waafrika wenzetu...wakaamua kuwatuliza kwà kuwapa pesa ndefu + kuwapa exposure ya kwenda USA.
Jamaa wanarudi na kuleakisha details....then mambo yanakua moto
Watu weupe wanaamua kutengeneza kundi liitwalo BHOKO HARAM...na kulifadhili kwà kulipa fedha + weapons etc.
ITAENDELEA!
View attachment 2651116
Hayo madini hayapatikani naturally kama inavyopatikana dhahabu nk, yenyewe hutengenezwa katika maabara (synthesized) na kutengeneza 1gm ndio inagharimu tatriban $27million.
Nchi ambazo hutengeneza hayo madini ni US na Russia, mimi nashangaa unaposema eti yanapatikana naturally huko Nigeria mbaya zaidi unahusisha na chanzo cha Boko haramu !!.
Tafuta uongo mwingine.