Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Nyerere alisema mkimchagua mhuni atawafanyia uhuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la ukatili! Hiyo siyo kauli ya mkuu wa nchi hata kidogo tena anayesubiri keshokutwa awapigie pushup kuomba kura zenu akijiita wa wanyonge.
Natamani nisikie wamemnukuu vibaya.
Haiwezekani kila azungumzalo ni bif tuu, na sijui kama anajua kuwa waliokufa wote na mafuriko ni hao wanyonge!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app