Bonge la ukatili! Hiyo siyo kauli ya mkuu wa nchi hata kidogo tena anayesubiri keshokutwa awapigie pushup kuomba kura zenu akijiita wa wanyonge.
Natamani nisikie wamemnukuu vibaya.
Haiwezekani kila azungumzalo ni bif tuu, na sijui kama anajua kuwa waliokufa wote na mafuriko ni hao wanyonge!
Sent using
Jamii Forums mobile app