Madini gani haya?

Madini gani haya?

Hiyo ni ore (maana yake ni mwamba wenye madini) so hapo mpaka ifanyike process ya kuitoa hiyo garnet kwenye huo mwamba.

Thamani sijui. Wewe umeyapata wapi hayo mawe?
Nimeyapata shambani Kwa rafiki yangu Kuna yalikuwa juu tukachimba kidogo usawa wa futi moja ndio tukakuta mwamba vimekaa kwenye mwamba hivi
 
Sio madini ni mawe yanaitwa Igneous rock
PXL_20250123_091043886.jpg
 
Back
Top Bottom