Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
- Thread starter
- #61
Sawa mkuuMimi nahisi ni makinikia 😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuMimi nahisi ni makinikia 😅😅😅
Umeanza tamaa sasa15000 sawa nitakuuzia
Umeanza tamaa sasa
Sawa mkuu njoo tujengee msingiHayo ni mawe mkuu
Naomba niwe chawa wako.. umeishakuwa tajiri
Upo wapi Manyara, Arusha, Tanga au Kilimanjaro?Wala hata sio tamaa mkuu ili yafike barabarani yanahitaji gharama pia
Morogoro Gairo kabla hujafika nipo maeneo ya Mtumbatu hapaUpo wapi Manyara, Arusha, Tanga au Kilimanjaro?
Chawa sitaki nahitaji mtu mwenye akili anivusheNaomba niwe chawa wako.. umeishakuwa tajiri
Ahsante sana kiongoziNdio, hayo ni madini ya Vito yajulikanayo kama red garnet.
Ni kama Ruby, ila inaonekana mwamba wake haujakomaa
Sawa mkuu naona pia Yana thamani kidogoCAPTION YA GARNET
Wengi walisema ni ruby nut ila sio yenyeweNi kama Ruby, ila inaonekana mwamba wake haujakomaa
Kyanite
Yeap haya kilo kias gani au yanauzwa Kwa gramKy
Kyanite
OkProbably there is gold impurities
Haya ni industrial mineral yaani madini yatumikayo viwandani. Bei yake hupimea kwa kilo.Yeap haya kilo kias gani au yanauzwa Kwa gram