Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

I told you!
Kuna tatizo kubwa guys.

Wale wenye macho wanaona, wanye fikra za kuona mbali wanaona, wenye masikio wanasikia.
Wenye kukubali ushauri na ukosoaji wataanza kutuelewa tunaopiga kelele kuna tatizo sehemu ndani ya upinzani.

Siamini kama watu wote hawa wana nunuliwa.
Erythrocyte nilisikia Mbeya watu wenye msimamo hawanunuliki sasa hiki sijui ndio nini?!!!
'NASHINDWA KUSHANGAA'.
 
maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi[/QUOTE]Hawa wote watapewa vyeo halafu Zoezi L's kuiua CCM wakiwa kulekule ndani litatimia.Wakati huo wapiga zumari wanashitukia wapo nje ndani wamejaa wageni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuukataa ukweli sio kushughulikia na kulimaliza tatizo. Lazima watu wa CHADEMA sasa wanze kuukubali ukweli mchungu kwamba kuna tatizo ndani ya chama na kutafuta suluhisho la kudumu.
 
Na yule aliyepigwa mapanga juzi yumo au hayumo? Hayumo Basi njia ya ushawishi inawezekana na mapanga yametumika!
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao

Sugu karibu ccm
 
Huyu Mhaya FAKE sijui ana agenda gani hasa ...............!!
 
Back
Top Bottom