I smell something fishy
Chama lenu bovuMkakati wa kuisambaratisha Chadema kwa gharama yeyote ile unaendelea.
Si wawaachie na Upinzani wafanye nao ushawishi
Sasa chama ni watu au majengo?
Mkuu jahazi linazama, ifike wakati tumieni vipaji vyenu kukisaidia chama chenu.
Katika Hali ya kuhuzunisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemficha Diwani mbakaji John Munisi!