mkomboti ya south
Member
- May 26, 2019
- 24
- 26
Soma hapo chiniMkakati unafanywa kijanja sana, makonda alikuwa Mbeya kutekeleza hilo. Mkuu dunia haina siri
Kwanini chama kinapitisha wagombea ambao wananunulika au waoga kupambana?
Kwanini chama kinapitisha watu ambao hawavumilii njaa?
Watanzania wamepigika, wakiona mshiko tu wanasurrender.makonda ndo kafanya hayo...yeye anajua.Soma hapo chini
Kuna uwezekano kuna siri kubwa sana ambayo hawa wanao hama wanaoneshwa ukweli, mfano labda kuna usaliti mkubwa sana kwa nchi unaendelea nyuma ya pazia na jamaa wakioneshwa ushahidi usio kuwa na shaka wanaona afadhali waende CCM kuliko kuuza nchi.Mkakati unafanywa kijanja sana, makonda alikuwa Mbeya kutekeleza hilo. Mkuu dunia haina siri
Acheni kutu pumbaza Tunataka kujua issiue ya Kugola. Ni lini mnamfikisha mahakamani? Maana hizi zuga ni za kuwafanya Watanzania wasahau ya Kugola and company.
Hivi CCM chama chenye miaka mingi kwenye siasa kuliko vyama vyote Africa mmefikia mahali pa kusherehekea kupokea wapinzani?
Mna tia aibu. Ni kwamba mmekosa kabsa mbinu mbadala wa kufanya siasa? Nawainea huruma. Maana sasa huku mna bebwa na dola, huku tume ya uchaguzi, kule kununua wapinzani hadi raha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia Bashite kaonekana Mbeya majuzi usikuWatanzania wamepigika, wakiona mshiko tu wanasurrender.makonda ndo kafanya hayo...yeye anajua.
Kwanini wakubali kusambaratishwa?Mkakati wa kuisambaratisha Chadema kwa gharama yeyote ile unaendelea.
Na wewe unafurahiKuna tetesi zimezagaa eti Sugu anawafuata. Chadema kwishilia mbali.
Kuna unachokijua lakini unaficha , ongea yote halafu na mimi nitatoa mchango wanguI told you!
Kuna tatizo kubwa guys.
Wale wenye macho wanaona, wanye fikra za kuona mbali wanaona, wenye masikio wanasikia.
Wenye kukubali ushauri na ukosoaji wataanza kutuelewa tunaopiga kelele kuna tatizo sehemu ndani ya upinzani.
Siamini kama watu wote hawa wana nunuliwa.
Erythrocyte nilisikia Mbeya watu wenye msimamo hawanunuliki sasa hiki sijui ndio nini?!!!
'NASHINDWA KUSHANGAAA'.