Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.

Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa huo ni ugeni mkubwa tangu aanze kupokea Wageni.

Aidha, amesema ameongea na Madiwani hao na kumueleza kwanini wanafanya uamuzi huo wakati huo na amefurahi sana maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi.
Mishahara imepanda, ajira zitapanda, kila kitu kitakuwa safi, hongera sana JIWE kwa biashara hii ya jumla
 
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.

Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa huo ni ugeni mkubwa tangu aanze kupokea Wageni.

Aidha, amesema ameongea na Madiwani hao na kumueleza kwanini wanafanya uamuzi huo wakati huo na amefurahi sana maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi.
Ni mfano halisi wa virusi vya corona ndani ya siasa za Tanzania ya sasa kupitia kwa chama tawala. Katibu Mkuu badala ya kupima mafanikio yake kwa kupokea mafuriko ya wanachama wapya, yeye anafurahia kupokea viongozi walioweza kuwaghiribu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema yote imehamia CCM. Then?

Watanzania ndio mjue kuwa hawa wanasiasa sio ndugu zenu!

CCM na CHADEMA wote ni matapeli wenye sare tofauti tu!
Kweli kabisa! hawa wanasiasa sio wa kuamini kabisa.
 
Sasa kama CHADEMA pesa yote inaliwa na M/kiti wengine mulioko mitaani munanufaika na nini? Au hizo T-Shirts za mkutano mkuu?
Tuna jitolea mwanzo mwisho ndiyo maana wengine wanasepa mkono mtupu haulambwi
 
Kuukataa ukweli sio kushughulikia na kulimaliza tatizo. Lazima watu wa CHADEMA sasa wanze kuukubali ukweli mchungu kwamba kuna tatizo ndani ya chama na kutafuta suluhisho la kudumu.
Biashara inayumba unakalia kusema nimerogwa kumbe tatizo ni ubovu wa bidhaa unayouza, bila kujikubali kuwa wewe nibtatizo kamwe huwezi kusonga mbele! Lema anawadanganya eti viongozi wenu wananunuliw! Hebu fanya utafiti kabla CHADEMA hakijabaki kuwa historia!
 
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.

Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa huo ni ugeni mkubwa tangu aanze kupokea Wageni.

Aidha, amesema ameongea na Madiwani hao na kumueleza kwanini wanafanya uamuzi huo wakati huo na amefurahi sana maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi.

acha wahame wote..na zile ofisi zao pale kinondoni wafunge...lakini suluhisho siyo kuhama
 
Nimeamini wanasiasa wengi Tz kinachiotwa itikadi hakimo vichwani mwao wala nyoyoni mwao.Wao husukumwa kwa kuangalia upepo wa kisiasa unavyovuma.Maslahi ndio kipaumbele kuliko itikadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.

Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa huo ni ugeni mkubwa tangu aanze kupokea Wageni.

Aidha, amesema ameongea na Madiwani hao na kumueleza kwanini wanafanya uamuzi huo wakati huo na amefurahi sana maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi.
Wasipokubari ushauri wangu niliouweka hum jf mwaka 2019 ! Mbowe chama kinamfia!! Yeye badara ya kujenga chama anaomba tume huru! Mara maridhiano!

Anaomba tume huru wakapigiwe kura akina nani? Nahii ni chengachenga kuna picha yenyewe inakuja! Ngoja tukalibie kampein.

Mbowe achia chama kaka.
Mbowe komaa kisiasa ujihudhuru .
 
Nimeamini wanasiasa wengi Tz kinachiotwa itikadi hakimo vichwani mwao wala nyoyoni mwao.Wao husukumwa kwa kuangalia upepo wa kisiasa unavyovuma.Maslahi ndio kipaumbele kuliko itikadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa haikufuati 'opportunity knocks but once'
 
Unajua najiuliza sana? Hii Siasa ya kununua watu lengo lake ni nini? CCM ya sasa malengo yake ni nini? Sababu ni mtu mjinga tu atayeamini hawa watu wanaenda CCM mikono mitupu...hao wabunge na madiwani walionao hawatoshi? Hii Siasa mpya nchini imeanza lini? Kwa malengo yapi? Au huyu jamaa anampango wa kupiga mpaka 2030?
 
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.

Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa huo ni ugeni mkubwa tangu aanze kupokea Wageni.

Aidha, amesema ameongea na Madiwani hao na kumueleza kwanini wanafanya uamuzi huo wakati huo na amefurahi sana maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi.
Al Baashir ni mpuuzi kweli

Asije kulia mambo haya yatakapoanza kumrudi, asisahau leo Kangi Lugola anatuhumiwa kwa makosa ya Uhujumu Uchumi, na Kangi Lugola kamwe haachi kutembea na Ilani kuliko afanyavyo Magufuli, yeye Ali Bashir na Polepole
 
Mzee wangu kaniambia kwamba :Njaa ikihamia kichwani jalala utaliona ni sehemu safi ya kujipatia riziki :Ccm ni jalala linalonuka ufisadi na mizoga ya watu wasiyo na hatia (Ben saa 8) Acha walitumie jalala kujipatia riziki.
 
Jambo moja la kuzingatia..upinzani uko moyoni....unaweza kukuta wote wanapigia makofi chama fulani lakini moyoni sio!......
Mkakati wa kuisambaratisha Chadema kwa gharama yeyote ile unaendelea.
 
Back
Top Bottom