Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
madiwani wa CHADEMA wamemfuata "iron lady" Tulia Ackson, mwisho wa Sugu umefika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri tuone. Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja; wahenga walinena.Kama na Mh.Sugu atahama basi kuna shida ndani ya kule wanakotoka.
Sugu hana njaa yule ni mwanaharakati yaani ni kocha sawa na mdee,bulaya,heche,msigwa,lisu,lema,mnyika,haonga,ester matiku,Hivi ndivo keys usibabaishwe na magugu hayauwi mmea yakiondolewa.Yeyeto aliyewahi umizwa na shetani katu hawezi sujudia msalaba kwa kuuza utu wakeKama na Mh.Sugu atahama basi kuna shida ndani ya kule wanakotoka.
Awamu ya tano ni sawa na kiwanda cha kuzalisha umasikini nchiniMambo makuu yaliyofanikishwa kwa kiwango cha hali ya juu na awamu ya tano ni, kununua wapinzani njaa, kupiga raia risasi, utekaji, kuzuia mikutano kwa wapinzani, kuzuia bunge mubashara na uchafu mwingine, hayo ndiyo wamefanikiwa kwa viwango vyote.
Aaa wapi hakuna kitu kama Hicho.Labda tungekuwa atutegemei misaaada..Tunaelekea kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja
Wananchi sisi tujali ugali wetu hao acha wahame tu hawajazuia tusilime mashamba yetu.Mambo makuu yaliyofanikishwa kwa kiwango cha hali ya juu na awamu ya tano ni, kununua wapinzani njaa, kupiga raia risasi, utekaji, kuzuia mikutano kwa wapinzani, kuzuia bunge mubashara na uchafu mwingine, hayo ndiyo wamefanikiwa kwa viwango vyote.
Sugu hana njaa yule ni mwanaharakati yaani ni kocha sawa na mdee,bulaya,heche,msigwa,lisu,lema,mnyika,haonga,ester matiku,Hivi ndivo keys usibabaishwe na magugu hayauwi mmea yakiondolewa.Yeyeto aliyewahi umizwa na shetani katu hawezi sujudia msalaba kwa kuuza utu wake
Yatakuwa na maana kama wazanzibar na wa viti maalumu wakihama.Hao hawana jipya ni sawa na bahari kujisafishaKama ni mpango mkakati wa Chadema kuiondoa ccm madarakani nitawapongeza ila kama wameenda ccm kwa lengo la kuunga mkono juhudi basi Tanzania hakuna wapinzani ila kuna wanafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa ni upepo yatakuwa sawa na kusema upinzani utakufa 2020 hadi sasa tumeshindwa onyeshwa kaburi.Wapinzani watapata viti vingi sana awamu hiiKati ya hao ubunge watausikia tu
🤣🤣🤣🤣Chadema yote imehamia CCM. Then?
Watanzania ndio mjue kuwa hawa wanasiasa sio ndugu zenu!
CCM na CHADEMA wote ni matapeli wenye sare tofauti tu!
Ifike mahala kuonyesha kupingana na ujuha huu ni kugoma kwenda kupiga kura tu ila nguvu ya umma ionekane inakerwa na siasa hizi. Kuunga mkono ndio nini kinachofwanya ni kupitia kodi zetu. Natamani mungu afanye yake ili huu ujinga usiwepoHistoria itawahukumu tu kwa hii Dhuluma na ushamba !
Wakimaliza huo ujinga kutakuwa na mabadiliko yoyote ya kiuchumi positively ?Mkakati wa kuisambaratisha Chadema kwa gharama yeyote ile unaendelea.
Kwanini chama kinapitisha wagombea ambao wananunulika au waoga kupambana?
Kwanini chama kinapitisha watu ambao hawavumilii njaa?
Kwani wapiga kura ni hao wanao jiunga na Ccm? Sana sana wakiwa wengi ni mtu na mke wake. Wapiga kura wanaendelea kubaki kuwa wapiga kura wa upinzani. Take my words..Baada ya kuungwa mkono na kila aina ya viongozi hata kufikia kuacha vyeo vyao nadhani CCM sasa ina Confedence kuwa inaweza kushinda uchaguzi bila wizi wa kura.
CCM itangaze kudai tume huru ili iwashinde wapinzania waliokimbiwa na wabunge na madiwani.
Tume huru itaifanya CCM iaminike na watu na dunia ijue kuwa CCM inapendwa kwa dhati.
Tume huru ndio iwe kipimo cha kukubalika kwa vyama .
Sent using Jamii Forums mobile app