Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

madiwani wa CHADEMA wamemfuata "iron lady" Tulia Ackson, mwisho wa Sugu umefika
 
Kama ni mpango mkakati wa Chadema kuiondoa ccm madarakani nitawapongeza ila kama wameenda ccm kwa lengo la kuunga mkono juhudi basi Tanzania hakuna wapinzani ila kuna wanafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo makuu yaliyofanikishwa kwa kiwango cha hali ya juu na awamu ya tano ni, kununua wapinzani njaa, kupiga raia risasi, utekaji, kuzuia mikutano kwa wapinzani, kuzuia bunge mubashara na uchafu mwingine, hayo ndiyo wamefanikiwa kwa viwango vyote.
 
Kama na Mh.Sugu atahama basi kuna shida ndani ya kule wanakotoka.
Sugu hana njaa yule ni mwanaharakati yaani ni kocha sawa na mdee,bulaya,heche,msigwa,lisu,lema,mnyika,haonga,ester matiku,Hivi ndivo keys usibabaishwe na magugu hayauwi mmea yakiondolewa.Yeyeto aliyewahi umizwa na shetani katu hawezi sujudia msalaba kwa kuuza utu wake
 
Mambo makuu yaliyofanikishwa kwa kiwango cha hali ya juu na awamu ya tano ni, kununua wapinzani njaa, kupiga raia risasi, utekaji, kuzuia mikutano kwa wapinzani, kuzuia bunge mubashara na uchafu mwingine, hayo ndiyo wamefanikiwa kwa viwango vyote.
Awamu ya tano ni sawa na kiwanda cha kuzalisha umasikini nchini
 
Mambo makuu yaliyofanikishwa kwa kiwango cha hali ya juu na awamu ya tano ni, kununua wapinzani njaa, kupiga raia risasi, utekaji, kuzuia mikutano kwa wapinzani, kuzuia bunge mubashara na uchafu mwingine, hayo ndiyo wamefanikiwa kwa viwango vyote.
Wananchi sisi tujali ugali wetu hao acha wahame tu hawajazuia tusilime mashamba yetu.
 
Kati ya hao ubunge watausikia tu
Sugu hana njaa yule ni mwanaharakati yaani ni kocha sawa na mdee,bulaya,heche,msigwa,lisu,lema,mnyika,haonga,ester matiku,Hivi ndivo keys usibabaishwe na magugu hayauwi mmea yakiondolewa.Yeyeto aliyewahi umizwa na shetani katu hawezi sujudia msalaba kwa kuuza utu wake
 
Wengi wametoka chadema,ila alipotoka Mashinji,nikajua chadema kuna matatizo makubwa
 
Kama ni mpango mkakati wa Chadema kuiondoa ccm madarakani nitawapongeza ila kama wameenda ccm kwa lengo la kuunga mkono juhudi basi Tanzania hakuna wapinzani ila kuna wanafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Yatakuwa na maana kama wazanzibar na wa viti maalumu wakihama.Hao hawana jipya ni sawa na bahari kujisafisha
 
Historia itawahukumu tu kwa hii Dhuluma na ushamba !
Ifike mahala kuonyesha kupingana na ujuha huu ni kugoma kwenda kupiga kura tu ila nguvu ya umma ionekane inakerwa na siasa hizi. Kuunga mkono ndio nini kinachofwanya ni kupitia kodi zetu. Natamani mungu afanye yake ili huu ujinga usiwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ccm mnatia aibu sasa haina maana. kama mliogopa local gov elections hata za urais mtaziogopa sana ndiyo maana slave trade inaendelezwa na slowslow na sasa hata katibu ameingia kichwa kichwa!
 
Baada ya kuungwa mkono na kila aina ya viongozi hata kufikia kuacha vyeo vyao nadhani CCM sasa ina Confedence kuwa inaweza kushinda uchaguzi bila wizi wa kura.

CCM itangaze kudai tume huru ili iwashinde wapinzania waliokimbiwa na wabunge na madiwani.

Tume huru itaifanya CCM iaminike na watu na dunia ijue kuwa CCM inapendwa kwa dhati.

Tume huru ndio iwe kipimo cha kukubalika kwa vyama .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wapiga kura ni hao wanao jiunga na Ccm? Sana sana wakiwa wengi ni mtu na mke wake. Wapiga kura wanaendelea kubaki kuwa wapiga kura wa upinzani. Take my words..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom