Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Mheshimiwa rais kufuatana na tangazo lako muhimu naomba nikutaarifu kuwa madiwani wako wawili katika baraza la madiwani la halmashauri ya bukoba ni wanyarwanda. Na kwa hili naomba nifunguke kabisa kwa kukupa majina na kata zao alafu tuone kama kweli unasimamia kauli zako au la
mh: Peter kibogo- diwani wa kata ya butelankuzi
mh: Wilson isaya -diwani wa kikomelo
Mkuu hebu usichanganye madesa hapa, issue siyo kuwa mnyarwanda issue ni kwamba je hao uliowataja ni watanzania wenye asili ya Rwanda au ni wahamiaji ambao hawana uraia na wanaishi kimakosa nchini?? Kama jibu ni ndiyo then nawashughulikiwe kama jibu ni hapana basi waendelee tu na kazi yao maana usikute hata Rwanda kwenyewe hawapajui ila mababu zao ndiyo walioingia Tanzania miaka hiyo.