Madiwani hawa wa CCM ni wanyarwanda

Madiwani hawa wa CCM ni wanyarwanda

Mheshimiwa rais kufuatana na tangazo lako muhimu naomba nikutaarifu kuwa madiwani wako wawili katika baraza la madiwani la halmashauri ya bukoba ni wanyarwanda. Na kwa hili naomba nifunguke kabisa kwa kukupa majina na kata zao alafu tuone kama kweli unasimamia kauli zako au la

mh: Peter kibogo- diwani wa kata ya butelankuzi
mh: Wilson isaya -diwani wa kikomelo


Mkuu hebu usichanganye madesa hapa, issue siyo kuwa mnyarwanda issue ni kwamba je hao uliowataja ni watanzania wenye asili ya Rwanda au ni wahamiaji ambao hawana uraia na wanaishi kimakosa nchini?? Kama jibu ni ndiyo then nawashughulikiwe kama jibu ni hapana basi waendelee tu na kazi yao maana usikute hata Rwanda kwenyewe hawapajui ila mababu zao ndiyo walioingia Tanzania miaka hiyo.
 
Maccm kwa kukumbatia wahalamia hawajambo
 
Weye ni lijinga sana. Mambo za kongo zinatuhusu nini sisi? Hivi hujui congo mobutu aliishi kwa damu za watu? he was eventually paid on what he did to patrick lumumba. Wala usilinganishe na Tz, wanyarwanda ni wakimbizi wenye haki zote, wala usidhani wataogopa.


Kwanza wewe umejitambulisha kuwa ni Mkenya sasa haya ya kwetu yanakuwashia nini? Simmefunga ndoa na Uganda na Rwanda mkatengeneza kaumoja kenu sasa unataka nini tena wewe NYANG'AU? Pili Tanzania hakuna mkimbizi wa Kinyarwanda hata mmoja baadhi yao walipewa uraia na wengine wakarudi kwao kwa hiari na hata kambi zao zote zilishafungwa miaka mingi iliyopita. Tatu, usiwe na ndoto ya kunyang'anya Ardhi Tanzania utapoteza muda wako bure, ardhi hapa kwetu ni mali ya serikali hivyo siku yoyote Kikwete anaweza akasema tupishe tunataka kufanya shughuli fulani hapo ya kiuchumi na ukatoka bila malipo hata ya thumni na hili linatukuta hata watanzania wenyewe sembuse wewe Nyang'au??
 
Nawachukia watanzania wanaoshabikia ukabila.
Mchungaji Mtikila alisema Wanyarwanda na hasa Watutsi na Kagame wao ni wabaguzi wa hali ya juu mkambishia .
Sasa kikwete kafunguka tulishamwambia hao sio watu wa kuungana nao km kuna Watutsi humo ndani bora muondoke
Huku Dodoma licha ya huyo wa Bahi wapo wengine wanenunua Ranchi ya Kongwa kabisa
wapo huko Bahi na wanalima mpunga hasa
Wapo Wizara ya kilimo hapahapa Dodoma
Wapo TRA
WAONDOKE JAMANI KWANI MATATIZO YAO NI UBAGUZI NA HAWATAKI KUWA CHINI YA MTU HASA AWE MBANTU
 
tukimaliza huko tuwatafute kenyans pia make nchi yetu imevamiwa kupita kiasi ...waondoke tu kila mtu ana kwao watuache watanzania tuishi kwa amani
kwenye nchi yetu vinginevyo waishi kwa sheria harali za nchi yetu.

Na hapa hatumaanishi ukabila make naona wakabila tayari nao wanajiingiza,hapa tunalinda nchi na kuithamini nchi yetu tunaelewa makabila yetu na ndo wenye nchi hii ila si taifa lingine lijipitishe kinyemela alafu tuwaache
 
Hiyo dhambi ya ubaguzi itaendelea kutafuna kila sehemu,kwa maana tumeona ni busara kuongelea na kuwatimua wanyarwanda.Sasa tuendele kuna wahindi wengi waamiaji haramu hapa.na wengine.kwa kweli nimeshangaa sana watu hatutazami mbele.Hivi kweli africa inaweza kuwa moja?.kwa mtindo huu naweza kusema hapana.
 
Hongera chief 1 na he jmk, mmesafiri sana,mmepewa suti za kuvaa sana na hata za waarabu ambao hawazivai, ila pia historia ya tanganyika hasa wakati wa ukoloni wa mjerumani hiyo eti hamjui au basi tu wapinzani wa ccm ni wengi kagera?mnaposhangilia mjue hii itahamia tarime,rombo,arusha ,moshi na kokote mipakani kwenye upinzani.chichiemu inafanya ujanja wa kitoto ni grown up babies wengine huku jf bila hayaaaaa wanashabikia!
 
hii ni dhambi ya ubaguzi inatutafuna sasa!!
 
Yaani wewe Mkenya ndio unachukia ukabila? Unataka kutufundisha na sisi tusiojua mambo ya ukabila? Ama kweli ukistaajabu ya musa..
Ok umetwambia umechukua ardhi, wewe andaa mashamba kama wenzako walivyofanya uko Karagwe na Ngara muda ukifika husianze kusema ohooo!! nilikuwa na shamba kwa nini mnanifukuza. Utaondoka na ardhi yetu itabaki, sasa sijui utakwenda kulima wapi na kwenu wakubwa ardhi walichukua yote

Weye ni lijinga sana. Mambo za kongo zinatuhusu nini sisi? Hivi hujui congo mobutu aliishi kwa damu za watu? he was eventually paid on what he did to patrick lumumba. Wala usilinganishe na Tz, wanyarwanda ni wakimbizi wenye haki zote, wala usidhani wataogopa.
 
tukianza kuchunguzana,hakuna raia wa tanzania.hivi wewe mleta hoja unajua kuna aina ngapi za uraia?huu ubaguzi uliletwa na ccm wakati wa uchaguzi 2010(udini,ukanda,ukabila),sasa mmeanza kubaguana wenyewe.
hakuna raia wa tanzania......aiseeee acha masihara kabisa
 
Back
Top Bottom